Una moyo sana.Hujaelewa. Hawalazimishwi kufanya hivyo, ila inabidi waheshimu haki za waliowakuta.
Ila kuna vitu kama ubaguzi/unyanyasaji wa wanawake ni lazima waache.
Hujaelewa. Hawalazimishwi kufanya hivyo, ila inabidi waheshimu haki za waliowakuta.
Ila kuna vitu kama ubaguzi/unyanyasaji wa wanawake ni lazima waache.
Unaongelea vita Mimi naongelea wizi, umalaya, ujambazi . Hizo nchi hayo Mambo hamnaUmeingiza dini. Somalia na Sudan ni muslim countries mbona kuna crime kubwa?
Ma abdool bwana1. Bring the source
2. How does this help you ?
3. Do you know which countries are in a Top list of high criminal rate ?
Nilipokuwa ulaya nilifikia kwenye Hostel moja ikiendeshwa na Catholics. Pale reception palikuwa na hawa tunawaita masister wa kizungu. Nilipompa Passport yangu akashangaa sana. Akaniuliza hivi kweli umetoka Zanzibar. Nikamwambia ndiyo. Akanianiambia 1957 aliishi Zanzibar na akaniambia wakati huo kulikuwa hamna jela , kwa sababu kulikuwa Hakuna crime . Akaniuliza vipi hivi sasa . Nikamwambia Mambo yamebadilika sana Zanzibar haipo Hiyo ni mwaka 1988Mkuu kwa nn unahisi watanganyika waliporuhusiwa kuingia zanzibar ndio crime ilipoanza?
Wazanzibar wao hawakua watu wa kufanya crime? Kwa nini unahisi wazanzibar hawakua watu wa crime?
Mbona lugha hii ni ya watoto si rizikiMa abdool bwana
Nchi za Ulaya zilipopiga marufuku uvaaji niqab na burqa maeneo ya umma kwa sababu za usalama ilikuwa shida kubwa sana.Sawa wajichanganye vipi ?? unataka waingie tamaduni za kulewa , kufirana , kuoana wanaume kwa wanaume wanawake kwa wanawake , kula unga au vipi ??
Ufaransa walipopiga marufuku uvaaji niqab na burqa ilikuwa shida kubwa sana.Hujaelewa. Hawalazimishwi kufanya hivyo, ila inabidi waheshimu haki za waliowakuta.
Ila kuna vitu kama ubaguzi/unyanyasaji wa wanawake ni lazima waache.
Kingine alicho nambia Huwa wanajali sana muda..Ukishasikia tu "with all due respect...." ujue ohoooo, mambo yashaharibika hapa. 😂😂😂
shida gani na nchi zipi mbona hiyo sweden wanavaaNchi za Ulaya zilipopiga marufuku uvaaji niqab na burqa maeneo ya umma kwa sababu za usalama ilikuwa shida kubwa sana.
Ufaransa nchi Waziri Mkuu ni shoga unafikiri waislamu wataipata salamaUfaransa walipopiga marufuku uvaaji niqab na burqa ilikuwa shida kubwa sana.
Tanganyika wanayo , kayale 😛 😛 😛 😛Zanzibar bikra hawana marinda.
Sasa kama walikuwa hawataki waziri mkuu shoga si wangebaki huko Pakistan na Afghanistan wanapolipuana mabomu na kuchapana viboko.Ufaransa nchi Waziri Mkuu ni shoga unafikiri waislamu wataipata salama
Hawakuipata salama kwenye nchi zao wataipata France
View: https://www.youtube.com/watch?v=FF6GykBzxoQ
Sasa kama walikuwa hawataki waziri mkuu shoga si wangebaki huko Pakistan na Afghanistan wanapolipuana mabomu na kuchapana viboko.
Sudan, Somalia hakuna wizi? Hakuna umalaya Wala ujamnbazi? Mkuu umeandika ikiwa serious? Hivi huo mnaoa raha gani kuongopa?Unaongelea vita Mimi naongelea wizi, umalaya, ujambazi . Hizo nchi hayo Mambo hamna
Hakuna mzungu anayejifunika gubigubi Ulaya kama yuko chini ya Taliban au Al-Shabab na pia Kobaz Ulaya wanaoengezeka kwa kuzaliana sio kubadilisha wenyeji dini.Kwani unafikiri kuna waislamu wageni tu , hao wafaransa wenyewe wanasilimu kwa maelfu kila siku na wanakuwa ngangari kuliko hao walioko Pakistan. hukuona ile program ya wale waliokwenda kupigana Syria waliotoka Ufaransa , ilirushwa na Aljazeera
Sudan, Somalia hakuna wizi? Hakuna umalaya Wala ujamnbazi? Mkuu umeandika ikiwa serious? Hivi huo mnaoa raha gani kuongopa?
Nchi maskini sana na za hovyo kama hizo unasema hakuna umalaya wala ujambazi?
Robbery at gunpoint on the rise in Somali capital
The security in Mogadishu has been worsening over the past months following the increase in armed robbery by armed men in the military uniform....share.google
msidanganywe makanisani hali iko hivi ufaransaHakuna mzungu anayejifunika gubigubi Ulaya kama yuko chini ya Taliban au Al-Shabab na pia Kobaz Ulaya wanaoengezeka kwa kuzaliana sio kubadilisha wenyeji dini.
Mkuu huwa mnaona raha gani kuongopa?Nilipokuwa ulaya nilifikia kwenye Hostel moja ikiendeshwa na Catholics. Pale reception palikuwa na hawa tunawaita masister wa kizungu. Nilipompa Passport yangu akashangaa sana. Akaniuliza hivi kweli umetoka Zanzibar. Nikamwambia ndiyo. Akanianiambia 1957 aliishi Zanzibar na akaniambia wakati huo kulikuwa hamna jela , kwa sababu kulikuwa Hakuna crime . Akaniuliza vipi hivi sasa . Nikamwambia Mambo yamebadilika sana Zanzibar haipo Hiyo ni mwaka 1988
Unafikiri nchi zenye maasi sehemu zote huwa pabovu?Unaniambia nchi yenye vita , of course hapo wamesema wameingia watu waliovaa military uniform . Angalia mwenyewe huku ambako hakuna vita hali ikoje
View: https://youtu.be/iCDQpm6f_pU?t=154
Huyo jamaa , anashindwa kuelewa kitu kidogo sana 😂.Hujaelewa. Hawalazimishwi kufanya hivyo, ila inabidi waheshimu haki za waliowakuta.
Ila kuna vitu kama ubaguzi/unyanyasaji wa wanawake ni lazima waache.