mimi nilikutana na mzungu mmoja alienda Nigeria na Sudan kabla vita . Akaniambia alipokuwa Sudan aliweza kuweka begi lake nje wala lisiguswe na mtu . Alipokwenda Nigeria kachukuwa taxi kaenda safari alipokuwa njiani kamwambia dereva wa taxi anataka kwenda dukani asimame . anasema aliporudi yule dereva wa Taxi kakataa kabisa kuwa alimchukuwa kabla na vitu vyake alivyoweka ndani kavichukuwa vyote.Unafikiri nchi zenye maasi sehemu zote huwa pabovu?
Unafikiri wizi uliookuwepo dar na sshemu za mijini ndio upo nchi nzima?
Sudan na Somalia ni nchi maskini, sifa za nchi maskini za kiafrica wala haihitaji kuuliza sifa zake ni zipi
Hiki kipande cha mwisho kimenitafakarisha. Nimekuuliza Zanzibar kabla ya huyo nyerere hata kuzaliwa, Zanzibar ilikua na biashara ya utumwa, ilikua soko kubwa la biashara ya utumwa. Je nani alianzisha biashara ya utumwa Zanzibar? Au biashara ya utumwa ni jambo zuri? Tuanzie hapoNimekuonyesha hapo Somaliland hali ilivyo na watu ni masikini lakini nyoyoni ni matajiri. hali hiyo hiyo ilikuwepo zamani miaka ya 60s na 70s Zanzibar. wakati wa sala mtu anakwenda kusali hafungi duka lake , mnunuzi akija anaona bei ya kitu anachukuwa na kuweka pesa . Hiyo ndiyo zanzibar aliyoivamia Nyerere Mkatyoliki kwa chuki zake za uislamu
Biashara ya utumwa ya Zanzibar haikufanywa na waarabu tu , hao watumwa hata machief wa kiafrika wakiuza pia hata waafrika walikuwa na watumwa au hujui historia ?? naona unakimbilia mambio ya karne ya 17 . Utumwa ulikuwepo kabla ya Yesu au huelewi. hata wazungu kwa wazungu wakifanyiana utumwa ??Hiki kipande cha mwisho kimenitafakarisha. Nimekuuliza Zanzibar kabla ya huyo nyerere hata kuzaliwa, Zanzibar ilikua na biashara ya utumwa, ilikua soko kubwa la biashara ya utumwa. Je nani alianzisha biashara ya utumwa Zanzibar? Au biashara ya utumwa ni jambo zuri? Tuanzie hapo
Mkuu mimi nimekuuliza nani alianzisha biashara ya utumwa Zanzibar? Nani aliifanya Zanzibar ikawa soko la watumwa? Bado hujajibu haya maswaliBiashara ya utumwa ya Zanzibar haikufanywa na waarabu tu , hao watumwa hata machief wa kiafrika wakiuza pia hata waafrika walikuwa na watumwa au hujui historia ??
Biashara ya watumwa ilianzishwa na Wareno , waliokuwa wakinunua watumwa kwa waarabu na waswahili waafrika, Bila wazungu kununua , hiyo biashara isingalikuwepo. biashara ya utumwa sijasema lilikuwa jambo zuri , na mimi nikuulize kwanini nyerere mkatoliki akaivamia Zanzibar 1964 na kuifanya milki yake ??Mkuu mimi nimekuuliza nani alianzisha biashara ya utumwa Zanzibar? Nani aliifanya Zanzibar ikawa soko la watumwa? Bado hujajibu haya maswali
Je biashara ya utumwa lilikua jambo zuri?
Kutetea uongo ni kazi sana...Biashara ya watumwa ilianzishwa na Wareno , waliokuwa wakinunua watumwa kwa waarabu na waswahili waafrika, Bila wazungu kununua , hiyo biashara isingalikuwepo, na mimi nikuulize kwanini nyerere mkatoliki akaivamia Zanzibar 1964 na kuifanya milki yake ??
Unaongelea vita Mimi naongelea wizi, umalaya, ujambazi . Hizo nchi hayo Mambo hamna
Kutetea uongo ni kazi sana...
Wareno walioandoka lini Zanzibar na biashara ya utumwa ilianza lini Zanzibar? Baada ya wareno kuondoka waarabu wakaona waindeleze vizuri hiyo biashara ya utumwa na Zanzibar ikawa moja ya soko kubwa la watumwa duniani. Waarabu wakaendeleza biashara ya utumwa ikakaa zaidi ya karne mbili zanzibar
Nategemea majibu hapa pia
Alafu pia hadi hapo tumeshaona kuwa kumbe mambo mabaya yalifanyika zanzibar kabla hata ya muungano kabla hata ya nyerere kuzaliwa.
Au kwa wazanzibar biashara ya utumwa haikua Jambo baya? Jambo baya ni muungano na Tanganyika?
Kwa hiyo kumbe maovu na mabaya Zanzibar yapo kabla ya muungano. Sasa kwa nini ulisema muungano ndio umeharibu?
wewe dawa yako anayo Gentamycine na wachungaji washirikina
Wewe ulisema mabaya yanayotokea Zanzibar ni sababu ya muungano, hapo ndio nikakutolea mfano mbona kabla ya muungano kulikua na utumwa. Ndio mana nikakuuliza au utumwa ni jambo zuri? Kama ni jambo baya basi kumbe mabaya ya huko Zanzibar hayakuanzia kwenye muunganomambo yamefanyika miaka 400 nyuma unayahusisha na watu wa leo kuja kuwauwa ??? waarabu wenyewe hawa ambao walishazaliana miaka 200 kabla ??? hiyo historia ndiyo mnayopewa huko makanisani , Utumwa zaidi ya miaka 400 huo uvamizi umefanywa .sisi tumeuona wa kuuliwa ndugu zetu bila kuchaguwa mwafrika au mwarabu au muhindi , watu 17 000wameuliwa na maelfu kuikimbia nchi na mauwaji yanaendelea mpaka leo hii , ila juzi yamehamia tanganyika , Karma inafanya vitu vyake
View attachment 3548555
Ali_bin_Hamud_of_Zanzibar the sultan of zanzibar
yaani unaniambia !88 mpaka Januari 1964 kulikuwa na utumwa Zanzibar. Umekunywa maji ya bendera ya CCM na kanisa katoliki ?? Soma tena kuhusu wareno , nimekuambia wanunuzi ni wao na wazungu wengine kama hawakuwanunua wangeuzika ?? una akili wewe yaani mambo ya karne 5 unayaona yamefanywa na Mfalme Jemshid ?? Niambie Jemshid kamuuza nani , kamuua nani , hao waafrika wameuwa waafrika tokea 1964 na huo muungano wao mpaka leo wanaendelea kuuwa , au Muafrika kuuwa muafrika ni sawa na ni maendeleo ?? Biashara ya utumwa ilifanywa pia na waafrika mbona hutaki kukubali hapo ??? Ni mwaka jana tu kanisa Anglikana liliomba radhi hapa zanzibar kwa kufanya biashara ya utumwa au hukusikia ???Wewe ulisema mabaya yanayotokea Zanzibar ni sababu ya muungano, hapo ndio nikakutolea mfano mbona kabla ya muungano kulikua na utumwa. Ndio mana nikakuuliza au utumwa ni jambo zuri? Kama ni jambo baya basi kumbe mabaya ya huko Zanzibar hayakuanzia kwenye muungano
Ulikuja na utetezi walioanzisha biashara ya utumwa Zanzibar ni wareno, nikakuuliza wareno walioandoka lini na utumwa Zanzibar ulianza lini? Hujajibu umeishia kuzunguka
Umelaumu wareno kuanzisha utumwa Zanzibar (kitu ambacho sio kweli) lakini umekwepa kulaumu waarabu waliofanya biashara hiyo ya utumwa kwa karne karibu tatu.
Kwa huu uongo wako utakua umefunga kweli?
Kwa hiyo unamaanisha zamani Zanzibar kulikua na mabaya, yakapungua mambo yakawa mazuri alafu yakaanza tena kuwa mabaya baada ya muungano?yaani unaniambia !88 mpaka Januari 1964 kulikuwa na utumwa Zanzibar. Umekunywa maji ya bendera ya CCM na kanisa katoliki ?? Soma tena kuhusu wareno , nimekuambia wanunuzi ni wao na wazungu wengine kama
Utumwa ulikuwepo katne ya 5? Mkuu wewe huu uongo inakufaidisha vip? Nilikuuliza utumwa Zanzibar ulianza lini hujajibu, sasa hivi unasema karne ya 5. Karne ya 5 kulikua na utumwa Zanzibar?una akili wewe yaani mambo ya karne 5 unayaona yamefanywa na Mfalme Jemshid ?? Niambie Jemshid kamuuza nani , kamuua nani , hao waafrika wameuwa waafrika tokea 1964 na huo muungano wao mpaka leo wanaendelea kuuwa , au Muafrika kuuwa muafrika ni sawa na ni maendeleo ??
Hakuna sehemu niliposema biashara ya utumwa haikufanywa na waafrika, biashara ya utumwa imefanywa na waafrika, wazungu, waarabu. Nilichokataa kwako ni kuwa wareno ndio walioanzisha biashara ya utumwa Zanzibar.Biashara ya utumwa ilifanywa pia na waafrika mbona hutaki kukubali hapo ??? Ni mwaka jana tu kanisa Anglikana liliomba radhi hapa zanzibar kwa kufanya biashara ya utumwa au hukusikia ???
Muungano ulikuwa juzi 1964 , Utumwa ulikuwepo hata babu wa babu yako hajazaliwa. Sijakuambia wareno walianzisha Utumwa, Utumwa ulikuwepo si Zanzibar tu aliyeuanzisha ni wazungu .Hebu niambie jina la Mtanganyika mmoja tu aliyeuzwa Zanzibar kabla ya Huo muungano wako . Pia nipe jina la Mzanzibari au Mtanganyika mmoja tu aliyeuawa na Sultani au kubambikiwa kesi au mali yake kuchukuluwa na utawala kabla muungano wako. Hali ya Zanzibar kabla na baada ya huu uvamizi ni tofauti hebu msikilize Mtanganyika mwenzako anavyosema kwani aliionaa hiyo hali.Kwa hiyo unamaanisha zamani Zanzibar kulikua na mabaya, yakapungua mambo yakawa mazuri alafu yakaanza tena kuwa mabaya baada ya muungano?
Wanunuzi wa watumwa Zanzibar ni wazungu? Unaongopa alafu umefunga
Utumwa ulikuwepo katne ya 5? Mkuu wewe huu uongo inakufaidisha vip? Nilikuuliza utumwa Zanzibar ulianza lini hujajibu, sasa hivi unasema karne ya 5. Karne ya 5 kulikua na utumwa Zanzibar?
Sultan jemshidi kakaa miezi 6 tu hii inatosha kumpa maua yake? Unavyozungumza ni kama mtu aliyekaa miaka mitano au 10.
Sultan jemshidi aliwekwa hapo kwenye huiyo nafasi na nani?
Hakuna sehemu niliposema biashara ya utumwa haikufanywa na waafrika, biashara ya utumwa imefanywa na waafrika, wazungu, waarabu. Nilichokataa kwako ni kuwa wareno ndio walioanzisha biashara ya utumwa Zanzibar.
Zanzibar biashara ya utumwa ilianzishwa na waarabu, ikadumu kwa miaka karibu 300. Kuzaliwa, haAliyekuja kuunzishNi mzungu na ikaea
Unaseama utumwa ilikuwepo kabla ya Babu wa Babu yangu hajazaliwa? huu nao ni uongo.Muungano ulikuwa juzi 1964 , Utumwa ulikuwepo hata babu wa babu yako hajazaliwa. Sijakuambia wareno walianzisha Utumwa,
Kabla ya muungano Zanzibar ilikua chini ya muingereza. Unataka kutuambia kuwa wakoloni wa uingereza hawakuua hata mtu mmoja? Huu utakua ukoloni bora kuwahi kutokea na ni maajabu makubwaHebu niambie jina la Mtanganyika mmoja tu aliyeuzwa Zanzibar kabla ya Huo muungano wako
Unatolea mfano jemshidi. Nimekuuliza jemshidi aliwekwa hapo na nani? Jemshidi kakaa muda gani kwenye hayo madaraka?Pia nipe jina la Mzanzibari au Mtanganyika mmoja tu aliyeuawa na Sultani au kubambikiwa kesi au mali yake kuchukuluwa na utawala kabla muungano wako
Unaseama utumwa ilikuwepo kabla ya Babu wa Babu yangu hajazaliwa? huu nao ni uongo.
Hadi karne ya 19 utumwa bado ulikuwepo Zanzibar, utumwa Zanzibar uliisha 1890's. Miaka 70 kabla ya Uhuru, lakini unavyozungumza kama vile kitu ambcho kiliisha huko karne ya 15
Kabla ya muungano Zanzibar ilikua chini ya muingereza. Unataka kutuambia kuwa wakoloni wa uingereza hawakuua hata mtu mmoja? Huu utakua ukoloni bora kuwahi kutokea na ni maajabu makubwa
Unatolea mfano jemshidi. Nimekuuliza jemshidi aliwekwa hapo na nani? Jemshidi kakaa muda gani kwenye hayo madaraka?
Sultan jemshidi kadumu almost mwezi mmoja tu lakini unamtolea mfano kama vile mtu aliyekaa madarakani kwa miaka mitano au kumi
Pia nikuweke wazi mimi sio mfuasi wa muungano. Mimi naamini kwenye kila mtu kujitegemea
Mkuu jemshidi kakaa kwa kwezi mmoja tu, mwezi mmoja unatosha kabisa kupima hayo unayosema?hujaniambia nani kauliwa na Jemshid na nani kabambikiwa kesi na jemshid na nani alitekwa na jemshid ???? Hutaki kuniambia . sasa niambie nani alibambikiwa kesi na huyo mkoloni muingereza , nani aliuliwa na huyo mkoloni muingereza na nani alitekwa na huyo muingereza ?? Jemshid alirithi kiti baada kufa baba yake na alikuwa chini ya utawala wa Kiengereza . Na wala hakuna mtu aliyesema asikae kwenye hicho kiti kama mnavyompinga Samia leo.
Usikimbie ukaja na wakoloni wa kiengereza , kama Jemshid alikaa siku moja au mwezi mmoja , hao waliokuwa kabla yake walimuua nani , walimuuza nani , walimteka nani ? mimi nitakutajia waliouliwa na hizo serikali zako baada ya huo muungano tena si waarabu ni waafrika wenzao . na bado wanaendelea kuuwa na kuteka . hao viongozi waliopo kuanzia Nyerere mpaka samia kwa nini mnawapinga na ni waafrika si waarabu . Aliyetaka kumpindua Nyerere kama ulivyosema ni mwarabu ???Mkuu jemshidi kakaa kwa kwezi mmoja tu, mwezi mmoja unatosha kabisa kupima hayo unayosema?
Kuhusu wakoloni waingereza, nimekuuliza wewe sasa ndio uniambie wakoloni waingereza hawakuua mtu Zanzibar? Kama wakoloni hawakuua mtu Zanzibar, basi huo utakua ukoloni bora kuwahi kutokea
Kuhusu kumpinga Samia, hapa sijakuelewa maana mimi nachojua maraisi wote hupingwa kuanzia kwa nyerere, mwinyi, mkapa, jk, magu na huyu Samia. Wote hao wamepingwa sana kwa kila namna, nyerere kanusurika kupinduliwa zaidi ya mara 3
Waingereza waliingia kwa vita, waliposhinda Vita wakaikalia Zanzibar kwa miaka zaidi ya 70. Ni ajabu kwa miaka 70 wakoloni waingereza kutoua wazanzibar. Hawa watakua wakoloni bora kuwahi kutokeaUsikimbie ukaja na wakoloni wa kiengereza , kama Jemshid alikaa siku moja au mwezi mmoja , hao waliokuwa kabla yake walimuua nani , walimuuza nani , walimteka nani ? mimi nitakutajia waliouliwa na hizo serikali zako baada ya huo muungano tena si waarabu ni waafrika wenzao
Mkuu soma bila jazba, wapi nimesema wanaotakiwa kupingwa ni waarabu ?hao viongozi waliopo kuanzia Nyerere mpaka samia kwa nini mnawapinga na ni waafrika si waarabu . Aliyetaka kumpindua Nyerere kama ulivyosema ni mwarabu ???