KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Aaahh I WISH WANGE KATA MISAADA YOTE KABISA MAANA HIYO 25% ILIYO BAKI BADO NI NYINGI GGGGGRRRRRRRRRRRRR!!!!!!! NAPATA HASIRAAAAA!!!!!!
Nimeipenda hii, ila umeiweka kinyumenyume.hawa walizoea kutoa pesa za miradi zinaliwa bila miradi kutekelezwa hivyo kuilazimu serikali kuendelea kukuza deni hali inayowapa fursa wao kuendelea kutunyonya maliasili zetu, sasa wanaona pesa inatumika katika miradi wanajua soon tutapunguza au kuacha kabisa kuwategemea na hapo watakosa kutunyonya.
Mjiandae kutekwa sana ili tupate za kuendesha nji hiiBalozi Slaa arudishwe nyumbani. Atakuwa amekula njama na hawa mabeberu wakate misaada. Kwa nini hakutetea nchi yetu dhidi ya beberu Sweden lisikate misaada?
Bure kabisa Balozi Slaa. Umeaibisha taifa. Badala ya kutetea taifa dhidi ya mabeberu unateleza kwenye barafu na Josephine tu
Labda hiyo 25% ndio kaipiganiaHuko Sweden si ndiyo yupo Nguli wetu Dr. Slaa? Kwanini ameshindwa kushawishi kinyume chake?
Hilo nililitarajia sana, huwa Marekani akianza kutoa taarifa za ki CIA basi tutarajie nchi washirika nyingi kuja na misimamo yenye aina moja kiuelekeo.
Taarifa za CIA huwa rasmi kwa nchi nyingi washirika kwani wao pia huhusika kwa namna moja au nyingine katika kupatikana kwa taarifa hizo
Una maanisha nini mkuu. Tafadhali dadavua zaidi.CCM watumie akili kufikiri na kufanya maamuzi sahihi 2020 uchaguzi mgombea wao, watangulize maslahi na ustawi wa taifa mbele kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Sweden si ndiyo yupo Nguli wetu Dr. Slaa? Kwanini ameshindwa kushawishi kinyume chake?
Hilo nililitarajia sana, huwa Marekani akianza kutoa taarifa za ki CIA basi tutarajie nchi washirika nyingi kuja na misimamo yenye aina moja kiuelekeo.
Taarifa za CIA huwa rasmi kwa nchi nyingi washirika kwani wao pia huhusika kwa namna moja au nyingine katika kupatikana kwa taarifa hizo
Endelea na ndoto nyevu tuWe can still generate our own revenues with large exports, tourism and many more! The only support ambayo inaweza kututisha ni inaohusiana na health haswa kipindi iki virus nyingi
Tutawauzia wachina na warusi na waafrica wenzetuShida sio kukosa made,shida itakayofuata bidhaa zetu za mashambani na viwadani tunawauzia akina nani basi.Hawaishii hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we jamaa weweHe...!!,kumbe wako serious?,mi nikajua Ni mzaha...
Waulize zimbabwe if they managed to do that.Ukipewa Ban na wamerekni wengine wanpigwa bit. Wanafuata methodology ya CCM mwenyekiti akikupiga ban wanaCCM wanakususia pia.Tutakuwa affected kiuchumiTutawauzia wachina na warusi na waafrica wenzetu
Kwa hiyo zitto alikua sahihi kwenda kuomba serikali ya ccm isipwe mkopo?Hatukuanza leo kukataa ubeberu soma historia