Endelea na ndoto nyevu tu
Sweden hawatunii tsh, msaada tunapewa in us dollars! Tsh inazunguka tz tu we can use our own cash effecient kama phase ya sgr iliwezwa kutengenezwa kwa pesa za ndan then hakuna lunch is hind ikan a including kununua ndege cash pia, tatizo lako we hutaki kufikirisha liakili lako limelala tustakehigh,
Naona uko kwenye usingizi mzito sana
Kwa hiyo zitto alikua sahihi kwenda kuomba serikali ya ccm isipwe mkopo?
Sawa Kabisa! Mjiulize CCM mna shida gani kwenye vichwa vyenu?? Tumewaachia nchi but hadi Leo kampeni ya CCM ni kuendelea kuahidi kuleta maendeleo! Fifty years later!Vingine vyote ni uvivu wetu tu, kama China waliweza kutoka from 0 mpaka kushikilia uchumi wao wenyewe tunashindwa nn?
Saahv ukiongelea china unaongelea direct challenger wa USA na RUSSIA , miaka tunapokea uhuru walikua level moja na tanzania nn sasa kinashindikana APA? Actually kuna fields marekani hawakanyagi ndan kwa china
huoni wanalialia kwa aliyoyafanya ZZKHivi kwani serikali ya sasa inategemea wafadhili?
[emoji3]
Sio kwa mwamba JPMWaulize zimbabwe if they managed to do that.Ukipewa Ban na wamerekni wengine wanpigwa bit. Wanafuata methodology ya CCM mwenyekiti akikupiga ban wanaCCM wanakususia pia.Tutakuwa affected kiuchumi
Kasome upya historia ya China halafu soma upya historia ya Tanzania. Halafu soma tena ulichoandikaVingine vyote ni uvivu wetu tu, kama China waliweza kutoka from 0 mpaka kushikilia uchumi wao wenyewe tunashindwa nn?
Saahv ukiongelea china unaongelea direct challenger wa USA na RUSSIA , miaka tunapokea uhuru walikua level moja na tanzania nn sasa kinashindikana APA? Actually kuna fields marekani hawakanyagi ndan kwa china
Sisi na Magu wetu mpaka kieleweke! Nyie wenye ombaomba 'mentality' ndio mtapata taabu sana! Tumeamua kujitegemea, na hao waSwidish' wakae chonjo, soon tutakuwa donor country na tutawasaidia pia masharti ya kipuuzi wanayotoa kwetu sasa ili wakome!CCM watumie akili kufikiri na kufanya maamuzi sahihi 2020 uchaguzi mgombea wao, watangulize maslahi na ustawi wa taifa mbele kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili zinaanza kuwarudia Sasa... Si mlikuwa mnasema sanctions haziwezi kuwadhuru Nyie ni donor Kantri.Naona jinsi watu wanashangilia misaada kupunguzwa au kusimamishwa kama ya WB, hivi mnajua nani anapata shida hiyo misaada ikifutwa? Mmejiuliza vizuri? Maana wengi mnadhani serikali au labda Mh Rais ndio atapata shida, kumbe ni mm, ww na ndugu zako, so maana yake ukishabikia misaada au soft loan kufutwa unaombea au unashabikia ww, mm na ndugu zako kupata shida.. Hivyo vichwa ndani maboga tupu nadhani
Watakao pata shida si hao walio madarakani,bali wapiga kiura na wapanga foleni vituo vya kura ndo wataonja joto ya jiwe.Safari ni hatua
Hamuoni wakuwatia hizo mimba, mnafwata watoto wa shule! Kama lengo ni kuwatetea, washauri wasifanye matusi wakiwa shuleni.M nadhani busara itumike tu. Hili suala la wanaopata mimba wasirudi shule naona halina mantiki. Yani nchi inakosa misaada kisa kuzuia wanaopata mimba wasirudi shule...serikali n lazm istep down ijitafakari