Syllabus ya shule za msingi za serikali na private inatakiwa iwe sawa na mtihani uwe mmoja kama ilivyo form four

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Nikiwa Rais shule zote ambazo zinafanya mitihani inayosimamiwa na baraza la mtihani necta kuanzia primary mtihani utakuwa ni wa lugha moja kama ni English wote ni English

Sio sawa hata kidogo mtoto wa maskini anamaliza shule ya msingi hana msingi wa lugha ya kingereza ilihali watoto wa wenye kipato kizuri wana-msingi wa lugha ya kingereza

Mtoto wa afisa elimu, mbunge, waziri kwanini hasomi shule za kiswahili, kwanini wanasoma shule za kingereza

Kwanini wewe ukiwa na kipato kizuri hutaki watoto wako wasome shule za serikali ambazo zinatumia mtaala wa kiswahili unataka wasome shule zinazotumia mtaala wa kingereza????

Mtihani wa darasa la saba wa shule za serikali wanafanya kwa kiswahili ilihali wa private wanafanya kwa English haya matabaka yanatakiwa yaondolewe mtihani uwe mmoja hii haitawahusu shule za International school
View attachment 3334743
yaani mimi middle class au upper class uniweke darasa moja na working class?

kuna haja gani ya mimi kugundua biashara na kufanya na kupata kipato kikubwa halafu watoto wangu waje kukaa kwenye poor classes?

sera anayosema huyu takataka ilikuwepo ikapelekea middle and upper class wote wapeleke watoto wao Kenya na South Africa kusoma kuanzia kindergraten

hasara yake unaikumbuka?

best decision hizi shule zijengwe hapa,watoto wasomee hapa hapa dollar za ada zibaki hapa hapa na kodi serikali izipate hapa hapa

huwezi lazimisha social classes ziwe sehem moja,upper class watafanya juu chini wasijichanganye na wewe

and that is okay...shida masikini yeye ni wa kulalamika anataka kuwa sawa na upper class

no,umasikini wako usilamishe wewe kua na wenye pesa...wenye pesa hawakutaki una bad culture na overall poor percepective of life utaharibu offsprings za watu

tajiri anakukwepa wewe masikini ila masikini unang'ang'ania kua na tajiri karibu...it wont happen

kaa huko huko kwenye umasikini maana ulichagua mwenyewe kwa uzembe wako mwenyewe usije leta sera zako za umasikini wako kulazimisha matajiri wawe darasa moja na wewe....

upumbavu ulioje wa masikini
 
mimi nimesema mtihani uwe wa lugha mmoja kama ilivyo form four sasa hujaelewa nini

Sio hawa wanafanya mitihani kwa kiswahili hawa wengine kwa English hapana
 
unawapangiaje watu lugha?

wasome lugha moja kwa faida ipi kwa mfano?

English kusoma ni gharama zaidi,serikali yako ina fedha hizo ku-roll out nchi nzima?

haina

kwavile serikali haina kipato hicho unataka watu binafsi wenye vipato vyao wasubiri mpaka serikali ije kupataga fedha?

shida wala sio kingine,ni wivu wa masikini kwa tajiri

naona umasikini na tabaka ulilopo linakuudhi sana mpaka unataka waliotabaka la juu warudishwe nyuma wawe sawa na wewe?

naona umetaja sijui matabaka,ni lazima yawepo maana outcomes za watu ni tofauti japo opportunities ni the same

wanadamu tupo tofauti..hatuwezi kua na outcomes sawa za kiuchumi

wewe fanya biashara zaidi peleka wanao kwenye shule unayotaka,acha ndoto za alinacha kushusha walioko juu warudi nyuma kwa lazima kukufata wewe muwe na elimu sawa wote

wewe ni masikini,act like one........dont pull rich people to your level of poverty

masikini ni hatari sana hapa duniani.....ndio maana matatizo yote hapa duniani nyie ndio waanzilishi
 
Wanapangiwa tu shida iko wapi hatuwezi kuwa na nchi ambayo inamatabaka na inatengeneza matabaka ya waziwazi

Nikiwa rais shule zote ambazo zinafanya mitihani inayosimamiwa na baraza la mtihani necta kuanzia primary mtihani utakuwa ni wa lugha moja kama ni English wote ni English kuanzia primary

Shule wanazotumia mitaala ya Cambridge na sio necta waendeleee kutumia lugha wanayotaka
 
hapana

u view this way wrong

huwezi lazimisha wanadamu wawafanyie nini watoto wao

hiyo unaweza kwa watu masikini

ila watu wenye kipato hata cha kati tu huwezi wapangia cha kufanya na watoto wao

watavuka hata mipaka ya nchi kuhakikisha watoto wao wanakua na elimu bora zaidi ya waliotoka wao

ndio hivyo ilikua mpaka serikali ikaruhusu English mediums Tanzania

huwezi pangia market inataka nini,na ukienda kinyume cha market utaumia wewe

unalazimishaje watu wote Tanzania wasome KIswahili?huwezi

kama unataka English serikali yako haina hiyo hela kubadili shule zote za kimasikini nchini kua English,miundombinu yake ni gharama na hela hakuna

unachosema wewe ni ndoto maana bajeti haitakuruhusu......sasa hivi wanatamani shule bure,hospitali bure,usafiri bure,miundombinu bure,kila kitu bure ila hela hawana

wewe umejaa na tatizo la umasikini,unataka matabaka ya juu uyavute chini yaje kwenye umasikini wako

kama huna pesa za kupeleka watoto wako kusoma shule za lugha unayotaka wewe my friend thats your problem sio tatizo la nchi

tafuta hela acha usengerema kabisa
 
Unajua maana ya kuwa na necta kwa point yako kila mtu afuate mtaala wake

Ulishawahi jiuliza kwanini syllabus na curriculum wanatoa serikali na sio tu mtu anajiamulia anavyotaka hio ni nchi au pori

Nchi lazima iwe na utaratibu unaowanufaisha watu wote na sio kikundi cha watu fulani
 
mkuu naona unaendeshwa na umasikini na wivu kwa wenye kipato

kuna shule za serikali wanatumia mtaala wa NECTA uliojengwa na serikali

huu mtaala unaweza fundishwa kwa aidha kiswahili au kingereza

chagua lugha unayotaka kutokana na kipato chako peleka mwanao

kuna mitaala tofauti kabisa kama IB na IGCSE curricullums...zinademand pesa kubwa zaidi

zina shule zake

wenye kipato wapeleke watoto wao mahali wanapoweza

hayo matabaka unayosemea hapa ndio exactly unaleta umasikini wako uvute tabaka la juu likufate wewe masikini,kafie huko

masikini ni mtu msenge sana,yeye kwavile hana hela anaenda kulia kwa serikali imsaidie kuvuta matajiri kwa lazima wawe level moja na yeye masikini

mimi sitakaa niweke mtoto wangu na masikini kama wewe mwenye idea za kipumbavu namna za wivu wa kulazimisha matoto yake yakae na watoto wa wenye nacho kwa LAZIMA

hiyo sio social mobility hiyo ni bullying

umasikini ni mbaya mno...na hutakaa ukae karibu na matajiri,na watoto wako sahau kabisa,peleka huko kwa masikini wenzio mlio sawa kimfuko,acha kujilazimisha kua level moja na wenye kipato,wewe huna

kingine punguza wivu.....

ndio maana ni hatari sana kumpa masikini madaraka...atayatumia kulazimisha walionacho kutokana na jasho lao kuwapa masikini ambao umasikini wameupata kutokana na jasho lao vile vile

hii ni stealing from the rich and give it to the poor...ni wizi kama wizi mwingine....watu wamepata mali kwa juhudi zao,hawajaiba popote,wewe unakuja wanyang'anya chao kwa lazima.....human right ya private property inakua violated..so sad!
 
Jikite kwenye mada hakuna sehemu nimesema private zitapigwa marufuku point yangu ni kuboresha shule za serikali nalo ni kosa hii nchi mbona watu wanaakili za ajabu sana

Kusema lugha ya kufundishia kwa shule za private za msingi na za serikali itakua moja nako ni kosa mbona tuna watu wanafikra za hovyo sana
 
mkuu

naona nime outline kabisa motive ya wewe kuleta huu uzi

kwavile nimeona motive yako ya siri,ni umasikini wako,then unajifanya kukomaa kwamba nipo nje ya mada

kijuujuu nipo nje ya mada according to wewe,ile mimi nimeenda ukurasa wa nyuma kabisa kuweka wazi motive yako

yeah motive hujaiweka wazi,ila mimi nimeifukua na kuiweka wazi

ni kweli nipo nje ya mada,ila nipo ndani ya motive yako

mtaala wa Necta unaweza kufundishwa kwa lugha aidha ya Kiswahili au ENGLISh

chagua unaweza kufanya

kuzifanya zote kua english ni ngumu sababu za kibajeti....walichofanya wameweka baadhi walizoweza

naona unakomalia sana za english,ili uwe sawa na matajiri,kwanini hukomalii za kiswahili?

labda kuna siku zote zitakua za english serikali ikipata bajeti,unfortunately kwa sasa ni hakuna

matabaka unayosemea mkuu ni vipato vyenu tu vibovu....na vipato kua vibovu ni kosa lenu nyie nyie sio la mtu

ukiwa na kipato kizuri unaweza mpeleka mwanao utakapoweza,ila usilazimishe wote tulingane

hapo ndio unaleta bullying......unalazimisha watu walingane kipato,tangu lini hili utaweza?

eti matabaka.......ulitaka tuwe wote sawa?una matatizo ya akili ndugu?

yaani mzibua vyoo alingane na specialist surgeon?pilot alingane na officer cleaner kweli?

hivi wewe ni mzima wa akili?

wewe unataka hawa watu watoto wao wasome mahali pamoja kwa LAZIMA?

itawezekana lini kama sio ujamaa wa nyerere ambao alikiri alikosea?

ubongo wako upo sawa sawa?
 
Unaakili ndogo sana alafu hakuna tuzo ya matusi na dhihaka wewe tukana wewe hakuna unachonipunguzia

Umeshindwa kujikita kwenye uzi umekimbilia kwenye personal attack
 
mwenye akili ndogo ni wewe

hutaki matabaka,ndio yanaondolewa namna hiyo?

nchi gani ilishafanikiwa kuondoa matabaka?

huwezi ondoa kwa kumnyang'anya alie nacho na kumpa asienacho

labda ufanye communism na huo ulishindikana,hauwezekaniki in real life!

ni wivu wa masikini mtupu huu unaonesha hapa

kudhani mtoto wa daktari bingwa wa upasuaji anaweza soma kwenye darasa moja la kiswahili na mtoto wako wewe mwenye kazi ya kuchimba mitaro chini ya muembe kwa LAZIMA ni ukichaa

huwezi equalize kwa ujinga huu....wanadamu hawawezi fanana output zao,hivyo vipato vyao lazima viwe tofauti,na kusomesha anapotaka na kwa lugha anayotaka ni hiyari sio lazima yako wewe
 
Back
Top Bottom