NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Umesema mitaala ni tofauti chura weweUtafiti wa nini we bwege, kuamua kwamba lugha ya kufundishia iwe English?
Umesema mitaala ni tofauti chura weweUtafiti wa nini we bwege, kuamua kwamba lugha ya kufundishia iwe English?
lugha kama lugha haipimi utajiri wa mtuUna udumavu wa akili, lugha ya kiingereza ndio kipimo cha utajiri? Yaani kusoma kutumia English ni utajiri? Hiyo ni lugha tu km kimasai haina uhusiano na utajiri acheni ulofa. JF imekuwa na watu wenye uwezo mdogo sana wa akili siku hizi
Umeamua kukaza shingo sio kosa lakolugha kama lugha haipimi utajiri wa mtu
ila lugha ya kingereza kwenye non english speaking countries kama Tanzania ni lazima uwe na fedha kumpeleka shule za mchepuo huo ambapo za michepuo ya kiswahili ni cheaper
na shule zote zenye mchepuo wa english ada yake ni gharama .....
kama ada kubwa sio indication ya utajiri wa mzazi utakua na akili iliyojaa mavi kabisa
wewe ndio umekaza shingoUmeamua kukaza shingo sio kosa lako
Hakuna kitu hapo, hao wanaofundisha Shule za English medium wamesoma vyuo tofauti na hao wa kayumba?kubadili walimu wote wawe wanatumia English kama medium of instructions,unaelewa ni semina miaka mingapi na gharama kiasi gani?
kubadili vitabu vyote vya kiada kua kwenye English,unajua itachukua pesa kiasi gani na miaka mingapi?
change miongozo,mikataba ya walimu,any current correpondences practices into English,unajua maandalizi yake ni gharama gani na itachukua miaka mingapi?
vyuo vya ualimu,change everything from Kiswahili/English into pure ENglish unajua gharama yake?
walimu wote wa sasa lazima wafanye re-examination upya unajua maana yake?
watahitaji mishahara mipya nearly mara mbili ya sasa,una hela?
Ni mfumo ambao utachukua mda kukamilika sio kwa mara mojaKama ni kukosea makosa yalifanyika toka baada ya UHURU
Kosa la elimu likifanyika marekebisho yake ni zaidi ya miaka 100
Mnakumbuka UPE ilivyoanzishwa madhara yake majeraha bado hayajapona
Mtu anamaliza std7 kisha anakwenda kufundisha primary?
Kurudisha mfumo kuanzia primary kuwa mtaalaa wa kingereza inawezekana ila cost yake ni kubwa sana
Tulisha bugi step ajili ya kujenga eti kitu kinaitwa utaifa
By the way hata hao walimu wenyewe wa kufundisha kuanzia primary wenyewe hicho kingereza hawakijui
Nadiriki kusema hata tuliosoma tukafika vyuo vikuu ukweli lugha yetu ya Kingereza haiko sawa
Ndio maana wakenya wanatucheka.
Awali ya yote serikali iliona hilo ombwe ndo ikaruhusu kuwe na English medium
Kuna ubaya gani wengine wakisoma kwa kiswahili wengine kingereza?
Canada kuna majimbo mitaala yao ni ya kingereza na wengine kifaransa mfano jimbo la QEBEC lakini at the end of the road wote wanakuwa na elimu ile ile mtaala wa Canada.
Mtoa mada usilazimishe issue ambayo ni ngumu sana kuitekeleza
Serikali inazo shule za English Medium mpeleke huko mwanao Kama huwezi kumsomesha private.mimi nimesema mtihani uwe wa lugha mmoja kama ilivyo form four sasa hujaelewa nini
Sio hawa wanafanya mitihani kwa kiswahili hawa wengine kwa English hapana
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo plus ubinafsi unakusumbuaSerikali inazo shule za English Medium mpeleke huko mwanao Kama huwezi kumsomesha private.
Umeongea kitu cha hivyo sana.
Ahsante kwa kushiriki na karibu tena swala la watoto wa primary hawa wanasoma kwa kiswahili na wengine kwa kingereza halitakuwepoWewe ni kiazi ,tofauti ni lugha tu
USSR
Basi gombea uraisi.Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo plus ubinafsi unakusumbua
Kwanini mtoto wa maskini asome kwa kiswahili ilihali watoto wa wenye kipato kikubwa na matajiri wanasoma shule wanazofundishwa kingereza
Nikiwa Rais hili swala halitakuwepo
Ndo hivyo mtoto wa afisa elimu, mbunge, waziri kwanini hasomi shule za kiswahili, kwanini wanasoma shule za kingerezaBasi gombea uraisi.
Ukishinda tangaza shule zote za msingi watafundisha na kujibu mitihani kwa kiingereza.