Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
yaani mimi middle class au upper class uniweke darasa moja na working class?Mtihani wa darasa la saba wa shule za serikali wanafanya kwa kiswahili ilihali wa private wanafanya kwa English haya matabaka yanatakiwa yaondolewe mtihani uwe mmoja hii haitawahusu shule za International school
View attachment 3334743
Lugha iwe mojaunaelewa maana ya English medium? Mtihani hautofautiani, vinatofautiana lugha. Be informed
Huelewi hata uzi unahusu niniUkiona wanafaidi sana pambano zaidi umpeleke mwanao
mimi nimesema mtihani uwe wa lugha mmoja kama ilivyo form four sasa hujaelewa niniyaani mimi middle class au upper class uniweke darasa moja na working class?
kuna haja gani ya mimi kugundua biashara na kufanya na kupata kipato kikubwa halafu watoto wangu waje kukaa kwenye poor classes?
sera anayosema huyu takataka ilikuwepo ikapelekea middle and upper class wote wapeleke watoto wao Kenya na South Africa kusoma kuanzia kindergraten
hasara yake unaikumbuka?
best decision hizi shule zijengwe hapa,watoto wasomee hapa hapa dollar za ada zibaki hapa hapa na kodi serikali izipate hapa hapa
huwezi lazimisha social classes ziwe sehem moja,upper class watafanya juu chini wasijichanganye na wewe
and that is okay...shida masikini yeye ni wa kulalamika anataka kuwa sawa na upper class
no,umasikini wako usilamishe wewe kua na wenye pesa...wenye pesa hawakutaki una bad culture na overall poor percepective of life utaharibu offsprings za watu
tajiri anakukwepa wewe masikini ila masikini unang'ang'ania kua na tajiri karibu...it wont happen
kaa huko huko kwenye umasikini maana ulichagua mwenyewe kwa uzembe wako mwenyewe usije leta sera zako za umasikini wako kulazimisha matajiri wawe darasa moja na wewe....
upumbavu ulioje wa masikini
Jamiiforums ni jukwaa ambalo hata wewe unarusiwa kutoa maoni yako mimi nina nia ya kugombea urais lazima nieleze sera zanguPunguza ujuaji
unawapangiaje watu lugha?mimi nimesema mtihani uwe wa lugha mmoja kama ilivyo form four sasa hujaelewa nini
Sio hawa wanafanya mitihani kwa kiswahili hawa wengine kwa English hapana
Wanapangiwa tu shida iko wapi hatuwezi kuwa na nchi ambayo inamatabaka na inatengeneza matabaka ya waziwaziunawapangiaje watu lugha?
wasome lugha moja kwa faida ipi kwa mfano?
English kusoma ni gharama zaidi,serikali yako ina fedha hizo ku-roll out nchi nzima?
haina
kwavile serikali haina kipato hicho unataka watu binafsi wenye vipato vyao wasubiri mpaka serikali ije kupataga fedha?
shida wala sio kingine,ni wivu wa masikini kwa tajiri
naona umasikini na tabaka ulilopo linakuudhi sana mpaka unataka waliotabaka la juu warudishwe nyuma wawe sawa na wewe?
naona umetaja sijui matabaka,ni lazima yawepo maana outcomes za watu ni tofauti japo opportunities ni the same
wanadamu tupo tofauti..hatuwezi kua na outcomes sawa za kiuchumi
wewe fanya biashara zaidi peleka wanao kwenye shule unayotaka,acha ndoto za alinacha kushusha walioko juu warudi nyuma kwa lazima kukufata wewe muwe na elimu sawa wote
wewe ni masikini,act like one........dont pull rich people to your level of poverty
masikini ni hatari sana hapa duniani.....ndio maana matatizo yote hapa duniani nyie ndio waanzilishi
hapanaWanapangiwa tu shida iko wapi hatuwezi kuwa na nchi ambayo inamatabaka na inatengeneza matabaka ya waziwazi
Nikiwa rais shule zote ambazo zinafanya mitihani inayosimamiwa na baraza la mtihani necta kuanzia primary mtihani utakuwa ni wa lugha moja kama ni English wote ni English kuanzia primary
Shule wanazotumia mitaala ya Cambridge na sio necta waendeleee kutumia lugha wanayotaka
Unajua maana ya kuwa na necta kwa point yako kila mtu afuate mtaala wakehapana
u view this way wrong
huwezi lazimisha wanadamu wawafanyie nini watoto wao
hiyo unaweza kwa watu masikini
ila watu wenye kipato hata cha kati tu huwezi wapangia cha kufanya na watoto wao
watavuka hata mipaka ya nchi kuhakikisha watoto wao wanakua na elimu bora zaidi ya waliotoka wao
ndio hivyo ilikua mpaka serikali ikaruhusu English mediums Tanzania
huwezi pangia market inataka nini,na ukienda kinyume cha market utaumia wewe
unalazimishaje watu wote Tanzania wasome KIswahili?huwezi
kama unataka English serikali yako haina hiyo hela kubadili shule zote za kimasikini nchini kua English,miundombinu yake ni gharama na hela hakuna
unachosema wewe ni ndoto maana bajeti haitakuruhusu......sasa hivi wanatamani shule bure,hospitali bure,usafiri bure,miundombinu bure,kila kitu bure ila hela hawana
wewe umejaa na tatizo la umasikini,unataka matabaka ya juu uyavute chini yaje kwenye umasikini wako
kama huna pesa za kupeleka watoto wako kusoma shule za lugha unayotaka wewe my friend thats your problem sio tatizo la nchi
tafuta hela acha usengerema kabisa
mkuu naona unaendeshwa na umasikini na wivu kwa wenye kipatoUnajua maana ya kuwa na necta kwa point yako kila mtu afuate mtaala wake
Ulishawahi jiuliza kwanini syllabus na curriculum wanatoa serikali na sio tu mtu anajiamulia anavyotaka hio ni nchi au pori
Nchi lazima iwe na utaratibu unaowanufaisha watu wote na sio kikundi cha watu fulani
Jikite kwenye mada hakuna sehemu nimesema private zitapigwa marufuku point yangu ni kuboresha shule za serikali nalo ni kosa hii nchi mbona watu wanaakili za ajabu sanamkuu naona unaendeshwa na umasikini na wivu kwa wenye kipato
kuna shule za serikali wanatumia mtaala wa NECTA uliojengwa na serikali
huu mtaala unaweza fundishwa kwa aidha kiswahili au kingereza
chagua lugha unayotaka kutokana na kipato chako peleka mwanao
kuna mitaala tofauti kabisa kama IB na IGCSE curricullums...zinademand pesa kubwa zaidi
zina shule zake
wenye kipato wapeleke watoto wao mahali wanapoweza
hayo matabaka unayosemea hapa ndio exactly unaleta umasikini wako uvute tabaka la juu likufate wewe masikini,kafie huko
masikini ni mtu msenge sana,yeye kwavile hana hela anaenda kulia kwa serikali imsaidie kuvuta matajiri kwa lazima wawe level moja na yeye masikini
mimi sitakaa niweke mtoto wangu na masikini kama wewe mwenye idea za kipumbavu namna za wivu wa kulazimisha matoto yake yakae na watoto wa wenye nacho kwa LAZIMA
hiyo sio social mobility hiyo ni bullying
umasikini ni mbaya mno...na hutakaa ukae karibu na matajiri,na watoto wako sahau kabisa,peleka huko kwa masikini wenzio mlio sawa kimfuko,acha kujilazimisha kua level moja na wenye kipato,wewe huna
kingine punguza wivu.....
ndio maana ni hatari sana kumpa masikini madaraka...atayatumia kulazimisha walionacho kutokana na jasho lao kuwapa masikini ambao umasikini wameupata kutokana na jasho lao vile vile
hii ni stealing from the rich and give it to the poor...ni wizi kama wizi mwingine....watu wamepata mali kwa juhudi zao,hawajaiba popote,wewe unakuja wanyang'anya chao kwa lazima.....human right ya private property inakua violated..so sad!
mkuuJikite kwenye mada hakuna sehemu nimesema private zitapigwa marufuku point yangu ni kuboresha shule za serikali nalo ni kosa hii nchi mbona watu wanaakili za ajabu sana
Kusema lugha ya kufundishia kwa shule za private za msingi na za serikali itakua moja nako ni kosa mbona tuna watu wanafikra za hovyo sana
Unaakili ndogo sana alafu hakuna tuzo ya matusi na dhihaka wewe tukana wewe hakuna unachonipunguziamkuu
naona nime outline kabisa motive ya wewe kuleta huu uzi
kwavile nimeona motive yako ya siri,ni umasikini wako,then unajifanya kukomaa kwamba nipo nje ya mada
kijuujuu nipo nje ya mada according to wewe,ile mimi nimeenda ukurasa wa nyuma kabisa kuweka wazi motive yako
yeah motive hujaiweka wazi,ila mimi nimeifukua na kuiweka wazi
ni kweli nipo nje ya mada,ila nipo ndani ya motive yako
mtaala wa Necta unaweza kufundishwa kwa lugha aidha ya Kiswahili au ENGLISh
chagua unaweza kufanya
kuzifanya zote kua english ni ngumu sababu za kibajeti....walichofanya wameweka baadhi walizoweza
naona unakomalia sana za english,ili uwe sawa na matajiri,kwanini hukomalii za kiswahili?
labda kuna siku zote zitakua za english serikali ikipata bajeti,unfortunately kwa sasa ni hakuna
matabaka unayosemea mkuu ni vipato vyenu tu vibovu....na vipato kua vibovu ni kosa lenu nyie nyie sio la mtu
ukiwa na kipato kizuri unaweza mpeleka mwanao utakapoweza,ila usilazimishe wote tulingane
hapo ndio unaleta bullying......unalazimisha watu walingane kipato,tangu lini hili utaweza?
eti matabaka.......ulitaka tuwe wote sawa?una matatizo ya akili ndugu?
yaani mzibua vyoo alingane na specialist surgeon?pilot alingane na officer cleaner kweli?
hivi wewe ni mzima wa akili?
wewe unataka hawa watu watoto wao wasome mahali pamoja kwa LAZIMA?
itawezekana lini kama sio ujamaa wa nyerere ambao alikiri alikosea?
ubongo wako upo sawa sawa?
mwenye akili ndogo ni weweUnaakili ndogo sana alafu hakuna tuzo ya matusi na dhihaka wewe tukana wewe hakuna unachonipunguzia
Umeshindwa kujikita kwenye uzi umekimbilia kwenye personal attack
Fanya tatifiti usikurupuke kama utopolo......Nikiwa Rais shule zote ambazo zinafanya mitihani inayosimamiwa na baraza la mtihani necta kuanzia primary mtihani utakuwa ni wa lugha moja kama ni English wote ni English
View attachment 3334743