Syllabus ya shule za msingi za serikali na private inatakiwa iwe sawa na mtihani uwe mmoja kama ilivyo form four

Wewe dhihaki ukimaliza utaendelea na shughuli zako

Ntakua Rais na lazima kutakua na haya mabadiliko kwenye elimu ya msingi
 
Wewe dhihaki ukimaliza utaendelea na shughuli zako

Ntakua Rais na lazima kutakua na haya mabadiliko kwenye elimu ya msingi
ukiwa rais utatolewa kesho yake

mtu badala uwe na mawazo ya kuongeza uzalishaji wote wawe nacho hata kama wanazidiana

wewe unawaza kuchukua kile kilichopo cha watu uwagawie wengine

hiyo inaitwa consumption mindset....sio production mindset

hufai!
 
ukiwa rais utatolewa kesho yake

mtu badala uwe na mawazo ya kuongeza uzalishaji wote wawe nacho hata kama wanazidiana

wewe unawaza kuchukua kile kilichopo cha watu uwagawie wengine

hiyo inaitwa consumption mindset....sio production mindset

hufai!
Neno lako sio sheria
 
Gharama ya English ni ipi?
 
Gharama ya English ni ipi?
kubadili walimu wote wawe wanatumia English kama medium of instructions,unaelewa ni semina miaka mingapi na gharama kiasi gani?

kubadili vitabu vyote vya kiada kua kwenye English,unajua itachukua pesa kiasi gani na miaka mingapi?

change miongozo,mikataba ya walimu,any current correpondences practices into English,unajua maandalizi yake ni gharama gani na itachukua miaka mingapi?

vyuo vya ualimu,change everything from Kiswahili/English into pure ENglish unajua gharama yake?

walimu wote wa sasa lazima wafanye re-examination upya unajua maana yake?

watahitaji mishahara mipya nearly mara mbili ya sasa,una hela?
 
Mabadiliko yanafanyika taratibu na fahamu mabadiliko ni sehemu ya maisha ya mwanadamu
 
Mabadiliko yanafanyika taratibu na fahamu mabadiliko ni sehemu ya maisha ya mwanadamu
wewe unatamani shule za masikini za serikali nazo ziwe za English medium

utakwepa kwepa sana ila ukweli ndio huo

kama mabadiliko ni kidogo kidogo kuna shule tayari za primary serikali imezibadili kama pilot study

kwahiyo mabadiliko unayoyaota ili na wewe ujiridhishe upo karibu na matajiri yashaanza

subiri mpaka siku serikali yako inakua tajiri vya kutosha kama kenya wamalizie shule zote

ndio mpaka muda huo ufike....pray hard

instead ya kuwaza hii mentality ya misaada kutoka serikalini kama kids,tafuta hela yako mwenyewe wapeleke wanao IST uache kumwaga machozi hapa

shida yote hii ni umasikini wa serikali yako na umasikini wako wewe mwenyewe kama wewe

all these are poverty problems
 
Wewe tukana matusi yote, dhihaka unavyoweza lakini jua dunia inabadilika
 
Wewe tukana matusi yote, dhihaka unavyoweza lakini jua dunia inabadilika
dunia haibadiliki kufata masikini

dunia inabadilika kufata prosperity

umasikini ni juhudi zako mwenyewe na utajiri ni juhudi zako mwenyewe vile vile

huwezi zuia watu wasiwe masikini,hata utumie viboko,huwezi

vile vile huwezi zuia watu wasiwe matajiri,hata utumie viboko,huwezi

nakushauri japo hujaomba ushauri wowote,kua fanya kazi,fanya biashara,fanya production jenga wealth hii watoto wasome kwa lugha gani ni minor problem

ila ukiwa masikini,watoto kwenda kusoma shule gani au kusoma kwa lugha gani ni big problem mpaka umejiapiza eti utagombea urais kurekebisha hili tatizo la lugha

masikini ni masikini tu....eti kurekebisha lugha ya mtoto wake ya shule ni mpaka awe rais,really?
 
Sawa tajiri masikini tumekusikia.
 
Hivi kupeleka mtt English medium utajiriee?[emoji41][emoji854]
 
Kinachokufanya uwe middle au upper class ni lugha ya mwingereza ambayo ht kichaa kule Uingereza anakitumia? Mbn mpumbavu hivyo? We ni miongoni mwa wale wapumbavu waliwao labd km ni mmiliki. Km ni mmiliki huna tofauti na mfalme Zumaridi. EM bidhaa inayofuatwa ni kiingereza, what a shame? Watu bd ni watumwa wa Uingereza. Ht hao wanaosoma EM wanaishia huku mtaani, wanaenda vyuo hv hv vya serikali, tofauti iko wapi na wanaachwa mbali sn na waliosoma hzo shule zinazotumia Kiswahili shule ya msingi.
 
Kimsingi we umevimbiwe nenda kaharishe kwanza huo uvundo. Povu lote la nini, inaonekana we si maskini ni fukara aliyechanganyikiwa
 
Una udumavu wa akili, lugha ya kiingereza ndio kipimo cha utajiri? Yaani kusoma kutumia English ni utajiri? Hiyo ni lugha tu km kimasai haina uhusiano na utajiri acheni ulofa. JF imekuwa na watu wenye uwezo mdogo sana wa akili siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…