System ishaanza kushughulika na Traore? Al Qaeda waingia Burkina Faso, waondoa benera za Urusi na kuua wanajeshi 60

System ishaanza kushughulika na Traore? Al Qaeda waingia Burkina Faso, waondoa benera za Urusi na kuua wanajeshi 60

Wakuu,

Kikundi cha wanamgambo wa Kiislamu kinachohusiana na Al Qaeda, JNIM, kimedai kuhusika na shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi katika jimbo la Loroum kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo wamesema waliua wanajeshi 60.

Shambulio kubwa lilitokea katika mji wa Sole, huku shambulio jingine mashariki mwa jimbo la Gnagna likiwaangamiza wanamgambo 10 wa serikali (VDP).

Pia, kiongozi wa JNIM nchini Burkina, Ousmane Dicko, alionekana kwenye video akiwataka wakazi wa Djibo kuhama kwa usalama wao. Djibo ilishambuliwa Jumapili, ikiwa ni pamoja na kambi ya jeshi, kituo cha polisi na soko.

Mashuhuda walisema mamia ya wapiganaji walishambulia na kuua wanajeshi na raia. Vifaru vya kijeshi vilichukuliwa na miili ya wanajeshi iliteketezwa na milipuko. Video kwenye mitandao zilionyesha wapiganaji wa JNIM wakizunguka mji wa Diapaga, wakifyatua risasi, kuchoma maeneo na kuondoa bendera za serikali na Urusi.


=================================================

Al Qaeda affiliate JNIM has claimed responsibility for an attack targeting a military post in Burkina Faso's northern Loroum province in which the group said 60 soldiers were killed, the SITE Intelligence Group said on Tuesday.
The U.S.-based non-governmental organization, which tracks online activity of Islamist militants, said JNIM had posted messages on Monday and Tuesday in which it took credit for four assaults in Burkina Faso and Mali.

The attacks highlight the difficulties the three Sahel nations of Burkina Faso, Mali and Niger, ruled by military leaders, are facing in containing the insurgents. Burkina authorities have not commented on the latest attacks.

The most notable attack occurred in the Burkina town of Sole, where JNIM fighters raided the army military post and killed soldiers, SITE Intelligence said, without specifying on which day it took place.
Another Burkina attack killed 10 members of a pro-government militia known as VDP in eastern Gnagna province, SITE added.

Source: Reuters
Hamna kitu kama hiki Mazee Tumieni AI tools vyema mpate ukweli wa Habari, Hizi ni Fake News Zilizotolewa Na Vi channel ambavyo viko Tiktok,Youtube,Ig,X Hi habari haipo Duniani Hii Labda Jupiter
 
hao kama wameshindwa kuilinda syria hadi marekani kaichukua, they are not reliable hawana nguvu ya kupambana na western block
Kuhusu Syria hujui unalozungumza bro.
Syria ilikua hamna namna regime ibadilike tu.
Syria ilishaoza na kutoa funza bora hata ya Burkina Faso raia wanaongea ideology Moja.
 
Michael Langley ni 5 star general?

We jamaa ni juha sana aisee. Hata kuhesabu nako hujui? Ana nyota tano huyo mabegani?
Umehamia kwenye idadi ya nyota!!?.. suala la trump kupewa ndege lilikuuma sana..pole!!!
 

Attachments

  • IMG_20250515_154057_608.jpg
    IMG_20250515_154057_608.jpg
    59.7 KB · Views: 24
Wanampa umuhimu ambao hana.

Kiongozi gani wa magharibi anakosa usingizi kisa Ibrahim Traore anayeongoza kinchi maskini kabisa duniani?
Of course ni maskini kwa maendeleo lakini si resources/raw materials.
 
Mtaelewa tu nani anawafadhili hawa watu ambao wanauwa bila huruma
Utawaita wana dini kweli hawa? Au wachumia tumbo
Alqaida walianza vita na Burkina Faso tangu 2015 yaani miaka 10 sasa
Hawajaanza kwa Ibrahim
 
Ufaransa bado ana jambo lake na Marekani of course. Kwa ushirikiano wa Putin na Kiduku soon wanaotumwa watalipwa
 
Kim si alimpa makomando wa kutosha, sasa inakuaje hao al qaeda watambe huku urusi nayo imetia timu huko?
 
Ulaya na marekani kamwe awaitakii mema nchi yoyote ile hapa duniani,walideal sana na africa wakaisahau china sasa hivi inawasumbua,ukiona nchi za ulaya ziko against na uongozi wa nchi flan kaa ukijua kuna maslahi yao yamebanwa,endeleeni kushangilia cdm wanavyoenda ubelgiji kuchochea kuni tu
 
Hakuna muislamu hapo , automatically ni kafir kwa kuua watu bila ya kosa ..
Unajua ni kwanini watu wanahusisha uislam na ugaidi, ni kwa sababu nchi mashuhuri za kiislam dunuani hatujawahi kusikia wakilaani el khaida na takataka zingine mfano wake kwa mauaji.

Ni kama ilivyo kwetu hapa mauaji ya kuvizia, utekaji na upotezaji wa watu unafanywa dhahiri huku Serikali ikijikalia kimya!

Ndiyo maana tunaiunganisha Serikali, Ccm na umwagaji damu huu kwa raia wasio na hatia.
 
Unajua ni kwanini watu wanahusisha uislam na ugaidi, ni kwa sababu nchi mashuhuri za kiislam dunuani hatujawahi kusikia wakilaani el khaida na takataka zingine mfano wake kwa mauaji.

Ni kama ilivyo kwetu hapa mauaji ya kuvizia, utekaji na upotezaji wa watu unafanywa dhahiri huku Serikali ikijikalia kimya!

Ndiyo maana tunaiunganisha Serikali, Ccm na umwagaji damu huu kwa raia wasio na hatia.
Unaogopa nini mkuu waislamu ni magaidi
 
Mtaelewa tu nani anawafadhili hawa watu ambao wanauwa bila huruma
Utawaita wana dini kweli hawa? Au wachumia tumbo
Alqaida walianza vita na Burkina Faso tangu 2015 yaani miaka 10 sasa
Hawajaanza kwa Ibrahim
Yaani ukiyumbisha maslahi yao, wanaenda kubonyeza button, vurugu zinaanza
 
Ni mwendo wa Allah Akbar na alhamndulirah za kutosha

Wakitoka hapo wanaenda kuua kanisan

MUNGU MWENYEZI awakemee mapema sana
 
Back
Top Bottom