System ishaanza kushughulika na Traore? Al Qaeda waingia Burkina Faso, waondoa benera za Urusi na kuua wanajeshi 60

System ishaanza kushughulika na Traore? Al Qaeda waingia Burkina Faso, waondoa benera za Urusi na kuua wanajeshi 60

Hamna kitu kama hiki Mazee Tumieni AI tools vyema mpate ukweli wa Habari, Hizi ni Fake News Zilizotolewa Na Vi channel ambavyo viko Tiktok,Youtube,Ig,X Hi habari haipo Duniani Hii Labda Jupiter
Kumbe ni mwendelezo ule ule wa fake news? I’m shocked 🤣.
 
Sasa hao waislam wanaingiaje kwenye mtego mpaka wanakubali kutumiwa kidini
Huko somalia,al shabaab walivamia msikiti,wakamwambia imam mwambie Allah akulinde, Allah wako yuko wapi?..wakammiminia shaba,kule Iraq, miongoni mwa viongozi wa isis walikua wakinywa pombe na waliodai wake zao hawakuvaa hijab
 
Of course ni maskini kwa maendeleo lakini si resources/raw materials.
Natural resources bila akili kichwani ni sawa na hamna kitu.

Wa Burkinabe hawana akili za kutengeneza mashine za kuchakata hizo natural resources.

Hata ugunduzi wake wanawategemea wageni, hususan wazungu.
 
Huko somalia,al shabaab walivamia msikiti,wakamwambia imam mwambie Allah akulinde, Allah wako yuko wapi?..wakammiminia shaba,kule Iraq, miongoni mwa viongozi wa isis walikua wakinywa pombe na waliodai wake zao hawakuvaa hijab
Kwahiyo wanywa pombe na wasiovaa hijab sio Waislamu? Je kutokunywa pombe au kutokuvaa hijabu ni nguzo ipi katika nguzo za Uislamu?😁😁😉
 
Umehamia kwenye idadi ya nyota!!?.. suala la trump kupewa ndege lilikuuma sana..pole!!!
Trump hajapewa ndege wewe. Acha kupotosha.

You just can’t help yourself with lying.

Unadanganya kuwa Michael Langley ni 5 star general.

Unadanganya kuwa Trump kapewa ndege.

Acha uongo. Trump hajapewa ndege na hao Qatar.
 
Unajua ni kwanini watu wanahusisha uislam na ugaidi, ni kwa sababu nchi mashuhuri za kiislam dunuani hatujawahi kusikia wakilaani el khaida na takataka zingine mfano wake kwa mauaji.

Ni kama ilivyo kwetu hapa mauaji ya kuvizia, utekaji na upotezaji wa watu unafanywa dhahiri huku Serikali ikijikalia kimya!

Ndiyo maana tunaiunganisha Serikali, Ccm na umwagaji damu huu kwa raia wasio na hatia.
Sawa ila waislamu ni wananchi kama sie ambayo jukumu ni la serikali ...Kikundi hicho unapokiita cha kiislam unakosea kwa sababu waislamu ni watu kama wengin ; wapo wahuni, walevi, wazinzi , washirikina,matapeli ,wezi ,makahaba, wauwaji.


Kwa mfano hao wameua watu bila ya hatia , automatically wameend kinyume na uislamu ,inakuwaje unawahusisha tena na uislamu wakati wameenda kinyume chake ?

Ingekuwa unasikia Al Qaid wameenda kuhij Makkah ,Al qaida wanatoa zakkah Isis wametoa pesa kwa ajili ya watoto yatimq ,Isis wamejenga msikiti au huduma za kijamii kama shule na hospital ...Sasa hayo makundi hayafany hata nguzo tano za Uislamu hawafuati🤣🤣
 
Hamna kitu kama hiki Mazee Tumieni AI tools vyema mpate ukweli wa Habari, Hizi ni Fake News Zilizotolewa Na Vi channel ambavyo viko Tiktok,Youtube,Ig,X Hi habari haipo Duniani Hii Labda Jupiter
Post ifungwe mazima.
 
Natural resources bila akili kichwani ni sawa na hamna kitu.

Wa Burkinabe hawana akili za kutengeneza mashine za kuchakata hizo natural resources.

Hata ugunduzi wake wanawategemea wageni, hususan wazungu.
Labda ungetengua kauli si wa burkinabe wate hamnazo ni Baadhi tu ambao labda si wazalendo au wabinafsi.

Wengi Wanapenda maendeleo tatizo lilikua kwa Viongozi wachache au wengi wilikosa balls za kusimama kifuq mbele na wamagharibi.
 
We una mtindio na sonona siyo bure
Ongo wewe. Trump hajapewa ndege na yeyote.

Kilichopo ni wanazungumzia Trump kupewa ndege.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya hayo mawili.

Kubwa jinga na kubwa ongo.

Jifunze kusema ukweli.
 
Labda ungetengua kauli si wa burkinabe wate hamnazo ni Baadhi tu ambao labda si wazalendo au wabinafsi.

Wengi Wanapenda maendeleo tatizo lilikua kwa Viongozi wachache au wengi wilikosa balls za kusimama kifuq mbele na wamagharibi.
Huyo kakimbia nchi kaenda kwenye nchi waliyojenga wengine, anataka afrika wote wawe kama yeye,hapendi kuona afrika ikisogea,usihangaike nae,ni kama malaya wa bar,macho hayatulii kuangalia meza ipi ina bia nyingi ahamie
 
Back
Top Bottom