System ishaanza kushughulika na Traore? Al Qaeda waingia Burkina Faso, waondoa benera za Urusi na kuua wanajeshi 60

System ishaanza kushughulika na Traore? Al Qaeda waingia Burkina Faso, waondoa benera za Urusi na kuua wanajeshi 60

Hahaaaa!

Uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana.

Kuna emolument clause kwenye katiba ya Marekani. Nina uhakika hujui maana yake na hata lengo lake.

Trump hajapewa hiyo ndege. Haiko mikononi mwake.

Kuna mambo mengi sana ya kisheria na kimiiko [ethics] ambayo bado hayajapata suluhu.

Hapo bado hujagusia suala la kuitengeneza hiyo ndege ili iwe Air Force one pamoja na gharama zake.

Comprehension level yako ni duni sana.

Trump hajapewa hiyo ndege na yeye hajaipokea kwa sababu hajapewa.

Kuzungumzia kupewa ni tofauti na kupewa but with your low single digit IQ, you can’t tell the difference.

Big dummy 🤣.
Ngenga nyiingi kujifanya kujua sheria za nchi za watu wakati za kwenu huzijui
Trump's critics and supporters unite against Qatar plane deal

Comprehension yako kwenye hiyo habari ya BBC ikoje?
 
vyote ni kwamba hyo ni siku nyingi HVI ibrahim amerdi kutoka Russia hio ndio recent news ya burkina faso sio Al Qaeda maan Wako way past kushambuliwa ma Hao wahuni Ibrahim Analojeshi lako na bado hawaja Finya Watu wanawashwa Angali na Hzii Taarifa
We kumbe ***!!
 
Waislam watanumika vibaya sana, ni kichwa cha mwenda wazimu.


Kuna wakati unaweza ukawaza kuwa siku ya kiayama ukifika unapodhani kuwa ni mbinguni halafu ukawakuta waislam basi ujue hapo ni jehanam .
Na ukifiika usipowakuta ujue uko mbinguni 😂😂😂😂😂😂.

Anakumbuka hata wakati Magufuli alipoingia madarakani Waliibuka makundi ya kigaidi hasa kwenye Jimbo la Mchengerwa .
JPM.
Angezubaa nchi ingegeuka kuwa kama Somalia .
Yote hayo kuna awasliti wa nchi walikua wanawaunga mkono magaidi.
 
Niambie lini china waliweza kumshinda magharibi kwenye kupigania regime yoyote?taiwan tu inamshinda kuichukua, trore kiukweli kama ilivyo kwa mashujaa wengi wa africa atakuwa na mwisho mbaya na sioni wa kumsaidia kwa hilo
Duh kaka inaonesha una upeo mdogo sana kwenye haya masuala.
Nakupa mfano mmoja tu unakutosha.
i .Korean war 1959 North Korea ilisaidiwa kwa infantry na China huku Urusi ikiwa imetoa silaha tu,askari wa China ndio waliowaburuta Korea kusini na wasapoti wao USA hadi eneo leo linaloitwa demilitarized region.
Embu nenda Al Jazeera katafute makala Moja inaitwa "The coming war to China" uone namna China ilivyozungumziwa jinsi ilivyo tishio kijeshi.
North Korea hata ingepewa ghala zima la silaha na Russia asingeweza kutoboa Ile vita bila usaidizi wa jeshi la wa China.

Huko Taiwan China amebadili sera,China ni taifa ambalo hasimu kiuchumi na USA pamoja na Westerners anajua madhara ya kuingia kivita directly kiuchumi yanakuaje,hiyo USA kufadhili kwake vita kumechangia uchumi kukua kwa taratibu.
Vipi China ambayo ndio ime gain momentum!?
Badala yake anatumia geopolitics and geoeconomics kushinda vita.
Hata hiyo Urusi kama China angesema apeleke usaidizi wa kijeshi basi Ukraine leo hii ingekua taabani mara elfu ya sasa.
Ila hapana akatoa msaada wa kiuchumi na kisiasa ndio maana unaona Russia Bado Ina survive licha ya vikwazo lukuki,hiyo jeuri alipewa na China.
Vita sasa hivi ni nguvu ya kiuchumi sio silaha kama zamani.
China hawezi akawaza kama wewe.
 
Reuters na aljazeera nani mkongwe!?..una umri gani?..ulianza lini kuifuatilia hard news?
Ukongwe haujalishi kinachojalishwa ni uhakika wa taarifa.
Mbona Al Jazeera ndio inaongoza kwa tuzo za kidunia za utoaji habari Bora kuliko Reuters!?
 
Ukongwe haujalishi kinachojalishwa ni uhakika wa taarifa.
Mbona Al Jazeera ndio inaongoza kwa tuzo za kidunia za utoaji habari Bora kuliko Reuters!?
Aljazeera inaongoza kwa documentaries
 
Juzi mumetuletea uzi kuhusu makomando wa Korea Kaskazini mara sijui Urusi, kila siku ni mbwembwe tu kuhusu huyu dogo
 
Duh kaka inaonesha una upeo mdogo sana kwenye haya masuala.
Nakupa mfano mmoja tu unakutosha.
i .Korean war 1959 North Korea ilisaidiwa kwa infantry na China huku Urusi ikiwa imetoa silaha tu,askari wa China ndio waliowaburuta Korea kusini na wasapoti wao USA hadi eneo leo linaloitwa demilitarized region.
Embu nenda Al Jazeera katafute makala Moja inaitwa "The coming war to China" uone namna China ilivyozungumziwa jinsi ilivyo tishio kijeshi.
North Korea hata ingepewa ghala zima la silaha na Russia asingeweza kutoboa Ile vita bila usaidizi wa jeshi la wa China.

Huko Taiwan China amebadili sera,China ni taifa ambalo hasimu kiuchumi na USA pamoja na Westerners anajua madhara ya kuingia kivita directly kiuchumi yanakuaje,hiyo USA kufadhili kwake vita kumechangia uchumi kukua kwa taratibu.
Vipi China ambayo ndio ime gain momentum!?
Badala yake anatumia geopolitics and geoeconomics kushinda vita.
Hata hiyo Urusi kama China angesema apeleke usaidizi wa kijeshi basi Ukraine leo hii ingekua taabani mara elfu ya sasa.
Ila hapana akatoa msaada wa kiuchumi na kisiasa ndio maana unaona Russia Bado Ina survive licha ya vikwazo lukuki,hiyo jeuri alipewa na China.
Vita sasa hivi ni nguvu ya kiuchumi sio silaha kama zamani.
China hawezi akawaza kama wewe.
Well said ndio maana nakwambia traore ajiandae kutolewa mfano kwa wengine, kwa sababu huyo china hatomsaidia sasa unachobisha hapo nini?
 
Well said ndio maana nakwambia traore ajiandae kutolewa mfano kwa wengine, kwa sababu huyo china hatomsaidia sasa unachobisha hapo nini?
Msaada lazima hadi upelekewe jeshi kaka!?
Kwani Russia alisaidiwajwe!?
 
Ngenga nyiingi kujifanya kujua sheria za nchi za watu wakati za kwenu huzijui
Trump's critics and supporters unite against Qatar plane deal

Comprehension yako kwenye hiyo habari ya BBC ikoje?
🤣🤣.

You’re making my job of cooking you be so easy.

I’m cooking you three the hard way.

Habari ya BBC inazungumzia jinsi ambavyo hilo wazo la Trump kupewa ndege lilivyowaunganisha mahasimu wake na mashabiki wake katika kupinga Qatar kumpa ndege Trump.

Hakuna popote pale kwenye hiyo article panaposema kuwa Trump kapewa hiyo ndege.

Kuna paragraph kabisa inayosema “The Qatari royal family plans to give the luxury Boeing 747-8, estimated to be worth $400m to the US Department of Defense to be used as part of a fleet of planes dubbed Air Force One -the president’s official mode of air travel “

Hiyo paragraph inaeleweka vizuri kabisa. Kuielewa siyo rocket science.

Haisemi kwamba Qatar imempa ndege Trump. Inasema imepanga kumpa.

Tofauti hapo ni dhahiri kabisa.

Kama huwezi kuona tofauti kati ya ‘kupanga’ kumpa na ‘kumpa’, basi utakuwa matatizo makubwa sana ya uelewa kuliko ambavyo ninavyokufikiria.

Utakuwa una uwezo mdogo sana wa ki akili.

Trump bado hajapewa hiyo ndege na wala hakuna uhakika kuwa atapewa na yeye ataichukua.

Kipi kigumu kuelewa hapo?

Una mtindio wa ubongo labda?
 
Back
Top Bottom