System ishaanza kushughulika na Traore? Al Qaeda waingia Burkina Faso, waondoa benera za Urusi na kuua wanajeshi 60

Wakuu,

Kikundi cha wanamgambo wa Kiislamu kinachohusiana na Al Qaeda, JNIM, kimedai kuhusika na shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi katika jimbo la Loroum kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo wamesema waliua wanajeshi 60.

Shambulio kubwa lilitokea katika mji wa Sole, huku shambulio jingine mashariki mwa jimbo la Gnagna likiwaangamiza wanamgambo 10 wa serikali (VDP).

Pia, kiongozi wa JNIM nchini Burkina, Ousmane Dicko, alionekana kwenye video akiwataka wakazi wa Djibo kuhama kwa usalama wao. Djibo ilishambuliwa Jumapili, ikiwa ni pamoja na kambi ya jeshi, kituo cha polisi na soko.

Mashuhuda walisema mamia ya wapiganaji walishambulia na kuua wanajeshi na raia. Vifaru vya kijeshi vilichukuliwa na miili ya wanajeshi iliteketezwa na milipuko. Video kwenye mitandao zilionyesha wapiganaji wa JNIM wakizunguka mji wa Diapaga, wakifyatua risasi, kuchoma maeneo na kuondoa bendera za serikali na Urusi.

=================================================

Al Qaeda affiliate JNIM has claimed responsibility for an attack targeting a military post in Burkina Faso's northern Loroum province in which the group said 60 soldiers were killed, the SITE Intelligence Group said on Tuesday.
The U.S.-based non-governmental organization, which tracks online activity of Islamist militants, said JNIM had posted messages on Monday and Tuesday in which it took credit for four assaults in Burkina Faso and Mali.

The attacks highlight the difficulties the three Sahel nations of Burkina Faso, Mali and Niger, ruled by military leaders, are facing in containing the insurgents. Burkina authorities have not commented on the latest attacks.

The most notable attack occurred in the Burkina town of Sole, where JNIM fighters raided the army military post and killed soldiers, SITE Intelligence said, without specifying on which day it took place.
Another Burkina attack killed 10 members of a pro-government militia known as VDP in eastern Gnagna province, SITE added.

Source: Reuters
Pandikizi za US/NATO hizo,wamepandikiza serikali Libya,Syria sasa wanaitafuta Bukina Faso,Mali na Niger huku kote Kumejaa malighafi
 
Kwahiyo wanywa pombe na wasiovaa hijab sio Waislamu? Je kutokunywa pombe au kutokuvaa hijabu ni nguzo ipi katika nguzo za Uislamu?😁😁😉
Dogo nakuomba usiingie anga zangu ,sipendi shobo naona hauna unachojua ,hakujatajwa dini yako ila uthenge mwingi kichwani...Nakuonya mara ya mwisho kama wale wenzio ..

Naona points zako hamna unachojua .kama hauamini katika dini sio tatizo ,hapa hakujatajwa dini yako wala jina la ukoo wako ila naona shobo debe ..

Nakuonya tena usijibu hiyo comment yako inaonesha jinsi ulivyokuwa empty kichwani ..Niko online masaa 24 nitajibu vikali sichek na kima.
 
We maamuma acha blah blah.
 
Nawahurumia hao jamaa katika watu wanatoa kichapo cha mbwa koko kwa magaidi ya jihad Mrusi hana mpinzani kabisaaaa
 
H
Wakuu,

Kikundi cha wanamgambo wa Kiislamu kinachohusiana na Al Qaeda, JNIM, kimedai kuhusika na shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi katika jimbo la Loroum kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo wamesema waliua wanajeshi 60.

Shambulio kubwa lilitokea katika mji wa Sole, huku shambulio jingine mashariki mwa jimbo la Gnagna likiwaangamiza wanamgambo 10 wa serikali (VDP).

Pia, kiongozi wa JNIM nchini Burkina, Ousmane Dicko, alionekana kwenye video akiwataka wakazi wa Djibo kuhama kwa usalama wao. Djibo ilishambuliwa Jumapili, ikiwa ni pamoja na kambi ya jeshi, kituo cha polisi na soko.

Mashuhuda walisema mamia ya wapiganaji walishambulia na kuua wanajeshi na raia. Vifaru vya kijeshi vilichukuliwa na miili ya wanajeshi iliteketezwa na milipuko. Video kwenye mitandao zilionyesha wapiganaji wa JNIM wakizunguka mji wa Diapaga, wakifyatua risasi, kuchoma maeneo na kuondoa bendera za serikali na Urusi.

=================================================

Al Qaeda affiliate JNIM has claimed responsibility for an attack targeting a military post in Burkina Faso's northern Loroum province in which the group said 60 soldiers were killed, the SITE Intelligence Group said on Tuesday.
The U.S.-based non-governmental organization, which tracks online activity of Islamist militants, said JNIM had posted messages on Monday and Tuesday in which it took credit for four assaults in Burkina Faso and Mali.

The attacks highlight the difficulties the three Sahel nations of Burkina Faso, Mali and Niger, ruled by military leaders, are facing in containing the insurgents. Burkina authorities have not commented on the latest attacks.

The most notable attack occurred in the Burkina town of Sole, where JNIM fighters raided the army military post and killed soldiers, SITE Intelligence said, without specifying on which day it took place.
Another Burkina attack killed 10 members of a pro-government militia known as VDP in eastern Gnagna province, SITE added.

Source: Reuters
Hawa jamaa Wana muhusisha MUNGU na Upuzi wao wanakosea sana Makafiri Hawa Ngoja NETANYAHU awaone kiboko ya magaidi
 
Rais WA zaman WA Syria Assad alipotofautiana na west, Al Qaeda wakaamza kumshambulia.

Rais WA Sasa WA Syria alikua kiongozi WA Al Qaeda na alikua MIONGONI mwa most wanted
 
Hakuna cha system wala nini!

Mnajitengenezea mambo tu vichwani mwenu.

Na kusema ukweli hakuna kiongozi wa nchi za magharibi aliye na muda wa kuhangaika na Traore au Burkina Faso.
hujui kitu kuhusu wazungu mkuu tulia
 
Kwanini hao Al... hawaji huku Tanganyika au hatujakidhi viwango vyao?
 
Back
Top Bottom