Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Hawana viherehere kuteka headlines...Urudi anapenda amani?Korea kaskazini anapenda amani?Iran anapenda amani?
Hawana viherehere kuteka headlines...Urudi anapenda amani?Korea kaskazini anapenda amani?Iran anapenda amani?
Nakufatilia mkuuUnaogopa nini mkuu waislamu ni magaidi
😃😃 Haya banaBBC nao wa kuwaamini!?
Pia unajua tuzo zinatolewa na nani!?
Kumbe naongea na mtu mtupu kichwani!?
We akili huna,wewe ulisema rais wa marekani kisheria haruhusiwi kupewa zawadi kama hiyo,lakini habari ikiwemo hii link ya BBC inaonesha utayari wa trump kupokea,na zaidi wanaopinga hawapingi 'kwa mujibu wa sheria' bali perception,read between the lines🤣🤣.
You’re making my job of cooking you be so easy.
I’m cooking you three the hard way.
Habari ya BBC inazungumzia jinsi ambavyo hilo wazo la Trump kupewa ndege lilivyowaunganisha mahasimu wake na mashabiki wake katika kupinga Qatar kumpa ndege Trump.
Hakuna popote pale kwenye hiyo article panaposema kuwa Trump kapewa hiyo ndege.
Kuna paragraph kabisa inayosema “The Qatari royal family plans to give the luxury Boeing 747-8, estimated to be worth $400m to the US Department of Defense to be used as part of a fleet of planes dubbed Air Force One -the president’s official mode of air travel “
Hiyo paragraph inaeleweka vizuri kabisa. Kuielewa siyo rocket science.
Haisemi kwamba Qatar imempa ndege Trump. Inasema imepanga kumpa.
Tofauti hapo ni dhahiri kabisa.
Kama huwezi kuona tofauti kati ya ‘kupanga’ kumpa na ‘kumpa’, basi utakuwa matatizo makubwa sana ya uelewa kuliko ambavyo ninavyokufikiria.
Utakuwa una uwezo mdogo sana wa ki akili.
Trump bado hajapewa hiyo ndege na wala hakuna uhakika kuwa atapewa na yeye ataichukua.
Kipi kigumu kuelewa hapo?
Una mtindio wa ubongo labda?
Unajua emolument clause kwenye katiba ya Marekani inahusu nini?We akili huna,wewe ulisema rais wa marekani kisheria haruhusiwi kupewa zawadi kama hiyo,lakini habari ikiwemo hii link ya BBC inaonesha utayari wa trump kupokea,na zaidi wanaopinga hawapingi 'kwa mujibu wa sheria' bali perception,read between the lines
Mi nijie katiba ya marekani inisaidie nini,we mbona limbukeni sana!!?.. trump hajui katiba ya marekani Inasema nini,hao wanaopinga si kwa kipengele cha katiba hawajui katiba ya marekani Inasema nini!?..ndiyo shida ya kula pumbu za ng'ombe utotoni usukumani,akili imejaa kamasi tuUnajua emolument clause kwenye katiba ya Marekani inahusu nini?
So dumb beyond belief!
Ndivyo walivyoWaislam watanumika vibaya sana, ni kichwa cha mwenda wazimu.
What the hell is this? Worse than Spanish scrambled eggs 🤣.Mi nijie katiba ya marekani inisaidie nini,we mbona limbukeni sana!!?.. trump hajui katiba ya marekani Inasema nini,hao wanaopinga si kwa kipengele cha katiba hawajui katiba ya marekani Inasema nini!?..ndiyo shida ya kula pumbu za ng'ombe utotoni usukumani,akili imejaa kamasi tu
Siogopi ila nimejenga hoja kutokana na utetezi kwamba hao siyo waislam bali ni wahuni tu.Unaogopa nini mkuu waislamu ni magaidi
https://www.reuters.com/business/ae...ghter-escorts-serve-air-force-one-2025-05-15/What the hell is this? Worse than Spanish scrambled eggs 🤣.
Unaweka links za articles ambazo hata huzielewi!https://www.reuters.com/business/ae...ghter-escorts-serve-air-force-one-2025-05-15/
Mpaka akili ikukaea sawa
Tukisema anayemiliki vikundi vya kigaidi ni Marekani muwe mnaelewaWakuu,
Kikundi cha wanamgambo wa Kiislamu kinachohusiana na Al Qaeda, JNIM, kimedai kuhusika na shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi katika jimbo la Loroum kaskazini mwa Burkina Faso, ambapo wamesema waliua wanajeshi 60.
Shambulio kubwa lilitokea katika mji wa Sole, huku shambulio jingine mashariki mwa jimbo la Gnagna likiwaangamiza wanamgambo 10 wa serikali (VDP).
Pia, kiongozi wa JNIM nchini Burkina, Ousmane Dicko, alionekana kwenye video akiwataka wakazi wa Djibo kuhama kwa usalama wao. Djibo ilishambuliwa Jumapili, ikiwa ni pamoja na kambi ya jeshi, kituo cha polisi na soko.
Mashuhuda walisema mamia ya wapiganaji walishambulia na kuua wanajeshi na raia. Vifaru vya kijeshi vilichukuliwa na miili ya wanajeshi iliteketezwa na milipuko. Video kwenye mitandao zilionyesha wapiganaji wa JNIM wakizunguka mji wa Diapaga, wakifyatua risasi, kuchoma maeneo na kuondoa bendera za serikali na Urusi.
=================================================
Al Qaeda affiliate JNIM has claimed responsibility for an attack targeting a military post in Burkina Faso's northern Loroum province in which the group said 60 soldiers were killed, the SITE Intelligence Group said on Tuesday.
The U.S.-based non-governmental organization, which tracks online activity of Islamist militants, said JNIM had posted messages on Monday and Tuesday in which it took credit for four assaults in Burkina Faso and Mali.
The attacks highlight the difficulties the three Sahel nations of Burkina Faso, Mali and Niger, ruled by military leaders, are facing in containing the insurgents. Burkina authorities have not commented on the latest attacks.
The most notable attack occurred in the Burkina town of Sole, where JNIM fighters raided the army military post and killed soldiers, SITE Intelligence said, without specifying on which day it took place.
Another Burkina attack killed 10 members of a pro-government militia known as VDP in eastern Gnagna province, SITE added.
Source: Reuters
Hivi nchi za magharibi zinapigaga magaidi au watu wanaoingilia maslahi Yao? Magharibi ukiwa tofauti nao utapewa kati ya majina mawili magaidi au dictatorAfrica Watu kama Traore na vijana wengi hutazama Dunia kwa perspective yao kwa maana nyingine huwa wanakuwa naive sana ..
Burkinafaso haiwezi kupigana na Ugaidi bila Nchi za Magharibi
YAANI UPAMBANE NA MAGAIDI KWA KUSAIDIWA NA MAGHARIBI WAKATI WAO NDIO WAFADHIRI WAKUU WA UGAIDI DUNIANI HILI NCHI ZISITAWALIKE WAO WAWE WANACHOTA TU MADINI HAPO BURKINAFASO UFARANSA ALIKUA NA KAMBI KUBWA YA KIJESHI JE UGAIDI ULIISHA?Africa Watu kama Traore na vijana wengi hutazama Dunia kwa perspective yao kwa maana nyingine huwa wanakuwa naive sana ..
Burkinafaso haiwezi kupigana na Ugaidi bila Nchi za Magharibi
China huwa hawajihusishi na mambo watakachofanya ni kuwauzia silaha tu.Urusi, china,korea kaskazini wafanye jambo, waweke nguvu, akiondoka huyo maana yake ile sahel union(niger, burkina faso,mali) itaanguka