gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Wazungumzie kupewa ndege wakati kwa mujibu wako haiwezekani kisheria!?Ongo wewe. Trump hajapewa ndege na yeyote.
Kilichopo ni wanazungumzia Trump kupewa ndege.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hayo mawili.
Kubwa jinga na kubwa ongo.
Jifunze kusema ukweli.