SZIFF 2019: Wadau wachukizwa na watoto kupewa tuzo za mwigizaji bora wa kike na kiume

Kuna tofauti ipi kati ya tamthilia hii 'Kosem Sultan'
na hii 'Sultan' inayorushwa Azam tv


Nimeangalia Kosem Sultan binti mrembo Anastasia anatekwa kutoka ugiriki mpk jengo la kifalme instambul kipindi hicho mtawala wa taifa ni sultan ahmed aliye apishwa na Saphia Sultan(grand queen),baadae mwishoni akaja mtawala Osman (mtoto wa Ahmed na Anastasia) yakatokea mapinduzi ya kijeshi Osman anauliwa na Mustapha (mdogo wa Ahmed/mtoto wa Halima)anakosa vigezo vya kuwa mfalme kutokana na matatizo ya akili ,

Anastasia (mother queen) anaua wasaliti wote walioshiriki kupindua nchi ikiwemo Dilhuba na mama yake yani (Halima), kisha tamthilia inaishilia ep 100 mahali Anastasia (kosem) anaelekea kumuapisha mwanae mmoja kati ya watoto 4 kuwa mtawala wa taifa.

NAOMBA: Mwenye kufahamu, je hiyo Sultan inayorushwa Azam ni mwendelezo huu au ni series nyingine, na kama ni mwendelezo zipo series ngapi za hii tamthilia matata ya kifalme (Ottoman empire) ndani ya viunga vya instambùl -TURKEY.?

Natanguliza shukrani za dhati kabisa... Asante!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan Ruby Nampa credit! Amafanya vzr [emoji119][emoji119]..

BTW kile kigauni chake kingekuwa cheusi, yaan mtu anaweza kuhisi MBUNI imekuja SZIFF..

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti mbuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ✓
 
Kiukweli tuzo za mwakani huu ni Charity!!

Washereheshaji boom heri wangeendesha Charles na Ivone ingenoga dah
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uwakika unajua Azam imeibua vipaji vingapi TV nyingine zilikuwa wapi kufanya kitu kama hiki, wamejaribu wamethubutu na wameweza makosa yapo yanarekebishika .
 
Yani Mkuu nimejikuta nawaonea huruma wale walioondoka makwao,nakulipia kushuhudia hili Live pale Mlimani City,Jamaa wako wako tu.............. Azam media ina watu wakuhost ishu za kiburudani ila si Baruan! Shame.......
Halikuwa na kulipia kiingīlio ni suala lä kualikwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…