The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
Jamani hivi alichokifanya Gabo ni sahihi? kusema yule dogo ha deserve ile tuzo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha nahisi aliongea kimasiharaJamani hivi alichokifanya Gabo ni sahihi? kusema yule dogo ha deserve ile tuzo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimwona hapo utasema mtu ila subiri wiki ipite utasikia karekodiwa akila mayai, karekodiwa akila ndizi.
hahaha nahisi aliongea kimasihara
Yeah ni kweli wamezingua, na sijui kwanini wamefanya hivo
Mc pilipili Hamna kitu,hajuiIshu kama hizi Salama Jabir,Mc Pilipili,Dk Cheni,Mwarabu wa Dubai (Mpoki) na Joti ndo viwango vyao.
Below 40 [emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti mbuni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaan Ruby Nampa credit! Amafanya vzr [emoji119][emoji119]..
BTW kile kigauni chake kingekuwa cheusi, yaan mtu anaweza kuhisi MBUNI imekuja SZIFF..
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za jioni wapendwa wana jf !!!!Leo ndo kilele cha usiku wa tuzo za films zinazofanyika na kuonyeshwa live Kupitia Azam TV ambalo ni mwaka wa pili tangu kuanzishwa kwake hapa nchini kwetu...!!
Kuna filamu mbalimbali zinashindanishwa kutoka kwa wasanii wetu hapa Tanzania na pia wasanii wanashindana katika vipengele tofauti tofauti.
Naona mambo yameanza kwa show. Mubashara!!
Picha iliyotrend kuliko zote ya zulia jekundu ni ya mwanadada Tausi Mdegela.[emoji2]
View attachment 1030597
Ni vya kwetu hata kama vibaya hatuna namnaaa!!! Karibuni nyote wadau!!!
Kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na malalamiko ya tukio kupooza na washereheshaji kudaiwa 'kuboa'.
==========
WASHINDI
Muziki Bora wa Filamu Fupi - Sisi na Wao
Muziki Bora World Cinema - The Silent Revolution ya Ujerumani
Muziki Bora wa Filamu Ndefu - Dema (Khatwab Khamis)
Mpigapicha Bora katika Filamu Fupi - Tamaa (Adam Juma)
Mpigapicha Bora World Cinema - Fatuma ya Tanzania
Mpigapicha Bora Filamu Ndefu - T- Junction (Lister Millado)
Mhariri bora wa Filamu Fupi - Tamaa (Ibrahim Jabir)
Mhariri Bora World Cinema - Sasha was Here ya Estonia
Mwandishi Bora wa Muswada(Screenplay) Filamu Fupi - Supa Mama (Christina Pande)
Mwandishi Bora wa Muswada World Cinema - Golnesa (Vida Salehi)
Mwandishi Bora wa Muswada Filamu Ndefu - Petu na Garu (Sylone Malalo)
Mchekeshaji Bora Filamu ndefu - Mama Mwali (Madebe Lidai)
Muigizaji Bora wa Kike World Cinema - Leena Alam wa Afghanistan na Myra Vishwakarma wa India
Makala bora - Amka (Adam Juma)
Filamu Bora katika Filamu Fupi - Supa Mama
Tuzo ya mtu aliyetukuka katika Tasnia ya Filamu - King Majuto
Mhariri Bora wa Filamu Ndefu - Petu na Garu(John Kallaghe) & T-Junction (Kelvin Mpeta)
Filamu zilizofanya vizuri katika mikoa husika
Mwanza: Laana ya Mke
Morogoro: Mchumia
Mtwara: Unga Unga Mwana
Mbeya: Kidato
Lindi: Dume Jinga
Arusha: Akisha
Filamu Bora yenye maudhui ya kitaifa - Siyabonga (Salim Ahmed a.k.a Gabo Zigamba)
Muongozaji Bora wa Filamu Fupi - Tamaa
Muongozaji Bora World Cinema - EE.MA.YU wa India na Golnesa ya Iran
Muongozaji Bora wa Filamu ndefu - T-Junction (Amil Shivji)
Tamthilia Bora - Safari Yangu (Ester Mdeme)
Muigizaji Bora wa Kike "People's Choice Award" - Flora Patience Kihombo (Kesho)
Muigizaji Bora wa Kiume "People's Choice Award" - Rashid Msigala (Kesho)
Filamu Bora World Cinema - Pihu ya India
===========
Lawama tani kadhaa zimerushwa kwa Azam TV kwa kuwapa watoto tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike na wa Kiume. Wananzengo wanalalama kuwa watoto hao hawawezi kulinganishwa na Gabo Zigamba wala kipenzi chao Wema Sepetu.
Wanatishia kutoangalia tena huku swali kuu likiwa "hizi ni tuzo au charity?"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamethubutu, wamejitahidi.
Una uwakika unajua Azam imeibua vipaji vingapi TV nyingine zilikuwa wapi kufanya kitu kama hiki, wamejaribu wamethubutu na wameweza makosa yapo yanarekebishika .Tatizo Kubwa ninalo liona kwa Azam Media ni kutaka kufanya Jambo Kubwa Peke yao Bila Kushirikisha au kutaka kutafuta Wadau kutoka Nje ya Azam Media. Tofauti na Host aliyetoka Nje na baadhi ya nyuma ya Kamera Lakini Azam ilipaswa kuwa Chanel Namba Moja hapa Bongo lakini ndio hivyo kutaka kufanya jambo peke yake na hata Vipindi vyao Kwanini hawataki kuruhusu Vipaji kutoka nje ya Azam?
Hivi we unaishi dunia hii kweli??? Chaaaa🙄🙄🙄Monalisa ndiye nani tena?
Halikuwa na kulipia kiingīlio ni suala lä kualikwa tuYani Mkuu nimejikuta nawaonea huruma wale walioondoka makwao,nakulipia kushuhudia hili Live pale Mlimani City,Jamaa wako wako tu.............. Azam media ina watu wakuhost ishu za kiburudani ila si Baruan! Shame.......
Hao waigizaji bora wa kike na wakiume sasa!!Kiukweli tuzo za mwakani huu ni Charity!!
Washereheshaji boom heri wangeendesha Charles na Ivone ingenoga dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamechemka Azam kwa kweli bora kuwaambia tuu!hana uigizaji wa kumshinda Gabo yule!binafsi pia namuunga mkono lakini kusema pale public danh ina hitaji ujasiri kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ni kweli wamezingua, na sijui kwanini wamefanya hivo