SZIFF 2019: Wadau wachukizwa na watoto kupewa tuzo za mwigizaji bora wa kike na kiume

SZIFF 2019: Wadau wachukizwa na watoto kupewa tuzo za mwigizaji bora wa kike na kiume

Puuzi kweli yule mamalia yaani anaongea tu ili mradi tu kutimiza wajibu.

Mfano maongezi yake na Ruby kuhusu kuwa mjamzito, mara leta nikushikie hela mara nenda unywe maji, mara mtoto atakuwa wa kiume.

Upuuzi gani huu anafanya humo ukumbini. Haangalii humo wamo wakina nani yeye ni kuongea kama kasuku dume.
Hajui jamani manners za utangazaji ndo maana!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maromboso naye akili yake inafanya kazi kweli?.

Anaondoka jukwaani bila kuimba picha yake? [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom