Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache tu Bella aitwe King of the best music.Live band anaiweza christian Bella tu hapa bongo hawa wengine unga unga mwana
Safi. Ila wengine wanajitahidi. Huyu hamna kituLive band anaiweza christian Bella tu hapa bongo hawa wengine unga unga mwana
Bora aimbe "picha yake".
Kabisa jamaa anajua wengine hata kuiga tu kumewashindaMwache tu Bella aitwe King of the best music.
Jamaa anajua sanaaaa.
Hajui jamani manners za utangazaji ndo maana!!!Puuzi kweli yule mamalia yaani anaongea tu ili mradi tu kutimiza wajibu.
Mfano maongezi yake na Ruby kuhusu kuwa mjamzito, mara leta nikushikie hela mara nenda unywe maji, mara mtoto atakuwa wa kiume.
Upuuzi gani huu anafanya humo ukumbini. Haangalii humo wamo wakina nani yeye ni kuongea kama kasuku dume.
Umeona eehh!hata Mimi nimeona aseehh!nimechekaaa pia sio wema peke yake!!
Huku dar ndugu yangu kuache tu kama kulivyo bila kuiga Mara kwa Mara ili joto lililopo ni shidaHuko Dar mnaoga kila saa?
Bora RubyMbosso ovyo sana, ndio nini sasa! Live performance haiwezi kwa kweli [emoji848][emoji848][emoji848][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliimba siku moja Mwanza muulize Magu mwenyewe alinyoosha mikono juu.
x50
Mnagegedana vipi sasa au ndo kulala majini.?Huku dar ndugu yangu kuache tu kama kulivyo bila kuiga Mara kwa Mara ili joto lililopo ni shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Joto linakupeleka bafuni usiku huu?
Kugegedana kuko pale palee!!!Mnagegedana vipi sasa au ndo kulala majini.?