T.I.D akinukisha kwa RAY C @instagram

T.I.D akinukisha kwa RAY C @instagram

ni kawaida wasanii au hata watu kuchomekeana kwenye social media kwamba "tutafutane". hakuna mahali Ray C ameongelea maswala ya rehab hapo, kiustaarabu TID angekaa kimya tu au kujibu sawa hata kama alipata utata kwenye mwito huo. Ustaarabu wa mtu unapimwa kwa mambo mengi sana... kwa umri wa TID hapaswi kuishi na kwa style anayoiendekeza (style yake ni ya ki-teen zaidi. Umri unapaswa kuendana na mienendo yetu la sivyo watu watatuona hamnazo au mataahira.
Mrembo by Nature unajua TID ni mgonjwa Lakini naona sasa hivi ana hali mbaya zaidi na mashabiki wake wanachekelea tuu mtu kuweuka kiasi hiki!

Huyu hana siku nyingi ana Lazwa.
Mashabiki wanachangi sana wasanii kuweuka.
 
Last edited by a moderator:
Ivi mateja walivyozagaa mitaani wako hopeless kwa 100% kwa nini asiwafuate akawapeleka kwenye foundation yake?kuna kitu anamtafuta mnyama na atakipata hasa mitama ya shingo aache ku-create stunts za kibwege huyu Ray C na mbona yeye hakutafutwa IG ili apewe msaada simply hakutumia njia sahihi kuwasiliana na TID.
Ni nani alikwambia alikuwa ana mtafuta ili ampeleke sober? Mbona sentensi ya Rayc hiko clear?
Ingekuwa ana mtafuta kwa hilo Rayc asinge andika hapo.
 
Achana nae huyo, tuendelee na umbea wetu, ivi huyo ray c kwa nini asimshtaki huyo Tid kwa kumdhalilisha? Kwani alimkosea nini, wakat alikuwa anamsifia ili apate collabo?

Binamu nilimuona yule bint anaetangaza kipinda cha Nirvana mbona hua hapendezii yaan anavaa kama chizii nywelee nguo fashion gan hizo afadhal hata deo lo
 
Mwenzangu unamzungumzia lotus?? Jaman yule dada ni hajui kuvaa nashangaa imekuaje anatangaza fashion wakat yeye inamshinda , yani anavaaga ovyo halafu hata hajishtukiagi mwenyewe na hana habar na mtu, yani na ukijumlisha na ule weusi dawa yani majanga binamu na bwana ake ana kazi
 
Achana nae huyo, tuendelee na umbea wetu, ivi huyo ray c kwa nini asimshtaki huyo Tid kwa kumdhalilisha? Kwani alimkosea nini, wakat alikuwa anamsifia ili apate collabo?

hataki kusifiwa lazima kwani?tid chizi yuleee
 
Ni nani alikwambia alikuwa ana mtafuta ili ampeleke sober? Mbona sentensi ya Rayc hiko clear?
Ingekuwa ana mtafuta kwa hilo Rayc asinge andika hapo.

Kama akili zako ziko sawa utagundua hawa hawajaanza kwenye ishu ya IG angalia Mnyama anavyosema "help ur boyfriend" na kwa nini all over sudden aseme "f**k off" ujue kafatwa muda mrefu angalia sentensi za TID utagundua kachoka kufuatilia na Ray C awezi kumjibu maneno yote kwa kusifiwa na kuambiwa "let's talk" kuweni werevu basi uyo binti toka apone anamvamia kila mtu arudishe jina hapo kwa Warioba atacheza makofi.
Over najua umenielewa kama bado utanielewa tu.
 
Waaambieeee banaaa
 
Mwenzangu unamzungumzia lotus?? Jaman yule dada ni hajui kuvaa nashangaa imekuaje anatangaza fashion wakat yeye inamshinda , yani anavaaga ovyo halafu hata hajishtukiagi mwenyewe na hana habar na mtu, yani na ukijumlisha na ule weusi dawa yani majanga binamu na bwana ake ana kazi

Huyoo huyoi leo alivyokua amevaaa kibokoo upande wa nywele sasa jumlisha sura mbayaa duuu yaan hua namshangaaa hapishani na Mbuta nanga
 
Kama akili zako ziko sawa utagundua hawa hawajaanza kwenye ishu ya IG angalia Mnyama anavyosema "help ur boyfriend" na kwa nini all over sudden aseme "f**k off" ujue kafatwa muda mrefu angalia sentensi za TID utagundua kachoka kufuatilia na Ray C awezi kumjibu maneno yote kwa kusifiwa na kuambiwa "let's talk" kuweni werevu basi uyo binti toka apone anamvamia kila mtu arudishe jina hapo kwa Warioba atacheza makofi.
Over najua umenielewa kama bado utanielewa tu.

kumbeeee.....afu alivyotukanwa ndo kabadilisha maneno ionekane alikua anamsifiaaaa.....
 
Huyoo huyoi leo alivyokua amevaaa kibokoo upande wa nywele sasa jumlisha sura mbayaa duuu yaan hua namshangaaa hapishani na Mbuta nanga

mi nkimuona nachekahadi basss au anafanyaga kusudi.....?
 
Ray C anakaugomvi na Tid si huyuhuyu kuna thread yake humu alisema tid ndo alimfundusha kula poda.... leo hii unadhan tid anaweza mjibu vizuri hadharani hapo keshajua ray c anachomuitia.
ila mwanadafada ray c kaumbuka sana mwe!! na akimshtaki ndo atampa kiki zaid maana ametoa single mpya tayari.
 
hivi ni kauli gani imemdhalilisha hapo? hiko wapi? come lets talk?,your best musician in east africa? huu ndi udhalilishaji? umejuaje alitaka waongee kuhusu madawa?

Siku zote Mtu aliyejamba mbele za watu huwa anajishtukia! Yan maneno yapo clear kabisa, angeuliza tuongee kuhusu nini akijibiwa kuhusu kuacha madawa ndipo angeanza kujitukanisha, kwan ni nan asiyejua kuwa Tid kishadata? Halafu mashabiki ndio wanaochangia kuharibika kwa wasanii! Subiri yalimkuta ya Ngwea mashabiki zake waendelee kumsifia tusiowane hapa wakitumia "nge" "nga'' ''ngali'' na ''ngeli''
 
Siku zote Mtu aliyejamba mbele za watu huwa anajishtukia! Yan maneno yapo clear kabisa, angeuliza tuongee kuhusu nini akijibiwa kuhusu kuacha madawa ndipo angeanza kujitukanisha, kwan ni nan asiyejua kuwa Tid kishadata? Halafu mashabiki ndio wanaochangia kuharibika kwa wasanii! Subiri yalimkuta ya Ngwea mashabiki zake waendelee kumsifia tusiowane hapa wakitumia "nge" "nga'' ''ngali'' na ''ngeli''[/Quote

Kufa ni lazimaa bana
 
Back
Top Bottom