T-shirt mpya zenye picha ya Tundu Lissu iliyotikisa Mitandaoni zaanza kusambazwa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

Screenshot_2025-05-22-17-34-15-1.png

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo ya Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Hao maaskari wa Magereza hawawezi kudai chao kweli?
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo ya Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
zisambazwe mikoa yote, wilaya zote, tarafani, katani, vijijini mpaka vitongoji vyote
 
No no, hayo ni makosa makubwa Chadema ni chama kikubwa kinachopendwa na watu wasomi na makini mambo mengine ambayo hayana maana muwe mnayaacha. Mngeweka picha ya Tundu pekee amenyoosha mkono ingependenza sana.
Amenyoosha mikono kutokea wapi, unataka tupindishe ili iweje? Rais wa Tanzania kaweka mabango ya picha alizopiga na Lissu hakuhojiwa na yeyote
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo ya Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Sawa tunaitaka hii.
 
Mbona hawakuidai mitandao na Magazeti?
Dah, fedha tupu hapa Dah, hairuhusiwi kuanika picha ya yeyote yule bila ridhaa yake,
Hawa ndugu watatu waanze kunywa bia baridi sana, fedha hii.
""Wajasiriamali ndani ya Chama au wachumia tumbo mmeiponza chadema yenu sasa, ndani ya Chama mpo kwa malengo ya kibiashara halafu mnajjifanya mna machungu sana, imekula kwenu "" ""
 
Back
Top Bottom