T-shirt mpya zenye picha ya Tundu Lissu iliyotikisa Mitandaoni zaanza kusambazwa

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Nyie mnaingiza pesa ,Ili kuhatarisha aman
 
😆😆😆 Mara hii umekuwa Chauma Lia lia kuliko hata Kigaila! haya bhana!
Siko kwenye active politics!! Ila nawasapoti CHAUMMA kama ambavyo niliisapoti CDM, ushauri wangu wa bure achana na huo mtumbwi wa vibwengo!
 
Huyo askari adai fedha, Je mchapishaji aliomba ruhusa toka kwa askari husika anayeanikwa hapo, hatua zifuatwe, fedha za fidia zilipwe na chama billion 5,tu hela ya mandazi!
°Amekunja kumi alama yetu chaumma, kwanini hakuonyesha ndole zake mbili!
Teteeni ujinga tu.
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Sawa kamanda kua nendo ya Taifa,Hivi Martha Karua bado yupo Uganda? Nachoka mimi kuitwa kamanda wakati naona huu ni utoto
 
Una mambo mawili tu, kununua Tshirt uvae au uende Mahakamani kudai fidia kwa niaba ya Askari Magereza

Yaani we jamaa huwa una mambo ya kijinga unayowashauri wajinga wenzio yaani ujinga ujinga tu unaleta humu badala ya kuzungumzia nini mtafanya au mnataka kufanya ili kuondokana na uongozi mbovu ulioko madarakani mmekaria matusi,ushauri,kujigamba,nk. huku wajinga wanaendekea kufa na familia zao zinabaki kuteseka tu nyie mko mnanenepa tu.
 
Nai
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Naipataje?
 
Yaani we jamaa huwa una mambo ya kijinga unayowashauri wajinga wenzio yaani ujinga ujinga tu unaleta humu badala ya kuzungumzia nini mtafanya au mnataka kufanya ili kuondokana na uongozi mbovu ulioko madarakani mmekaria matusi,ushauri,kujigamba,nk. huku wajinga wanaendekea kufa na familia zao zinabaki kuteseka tu nyie mko mnanenepa tu.
Wewe ndio mjinga pro max unataka wafanye na nani? wewe umezaliwa kuja Duniania kufanyiwa kila kitu?
 
Back
Top Bottom