T-shirt mpya zenye picha ya Tundu Lissu iliyotikisa Mitandaoni zaanza kusambazwa

Umeelewa swali?
Hivi nikuuliza uthibitishe utapeli wao we unaweza? CHAUMMA wanakwenda kuleta siasa za mageuzi za ukweli!! Hizo kauli za sijui matapeli ni za jumla jumla zilizojaa chuki na husda.
 
Utapeli ni nini?
 
😆😆😆😆
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Ujumbe usoomeke,

No Reforms no Election

Kuhusu Lissu kuachiwa ni suala liko wazi!
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Hii nayo biashara tayar
 
Japo nawakubali chadema, ila hakuna weledi kwenye hiyo picha na hatma yao, watabiruzwa mahakamani na kuwapa akina Kibatala mzigo wa kujitakia.

Ushauri: Wekeni Kivuli kwenye picha ya Askari ndo mtoe hizo 👕. Au mtafute namna ya kuweka picha iyo "kivuli" bila mhusika kuonekana. Mwisho msisambaze hizo Tshirts zikiwa hivyo zilivyo. Mtaishia mahakamani.
 
Alikaa karibu na nyumbu
ZEZETA wewe angekua nyumbu mngeangaika na risasi zote zile pale dodoma mlizompiga?. Nyumbu kina rungwe wananchi mtakula ubwabwa ndiyo wale mnaowataka wawe Tanzania nzima. Watu wanaamka now days na Kama MUNGU aishivyo. Amtaweza kuwanyamazisha kwa huu Upumbavu wenu wa kuteka na kuuwa. Mtawanyamazisha kwa kuwatatulia kero na matatizo yao na ya nchi yao.Ila mlivyokosa akili na MAZEZETA kama wewe mnawaza kuuwa tu watanzania wanaowakosoa.
JINGA KABISA.
 
Japo nawakubali chadema, ila hakuna weledi kwenye hiyo picha na hatma yao, watabiruzwa mahakamani na kuwapa akina Kibatala mzigo wa kujitakia.

Ushauri: Wekeni Kivuli kwenye picha ya Askari ndo mtoe hizo 👕. Au mtafute namna ya kuweka picha iyo "kivuli" bila mhusika kuonekana. Mwisho msisambaze hizo Tshirts zikiwa hivyo zilivyo. Mtaishia mahakamani.
Mkuu japo ushahuri wako ni mzuri na kwa Nia njema. Ila Hayo mambo ya Siri ndiyo yaliomkita rais Ramaphosa wa south Africa akaonyeshwa video za watu kuuwawa kwenye nchi yake na trump kiti kikawa akikaliki.
 
Huyo askari ameruhusu picha yake ionekane? Dah! Mambo mengine bwana ya ajabu ajabu tu.
Huyo askari ndiye anayenogesha picha na hata yeye anamkubali Tundu Lissu ila maadili ya kazi ndiyo yanambana.
 
Hivi nikuuliza uthibitishe utapeli wao we unaweza? CHAUMMA wanakwenda kuleta siasa za mageuzi za ukweli!! Hizo kauli za sijui matapeli ni za jumla jumla zilizojaa chuki na husda.
Kwenda kutangaza ubwabwa au? Hao matapeli wenu wa kisiasa muwaandalie wanaccm wa kuwasomba na magari kuwapeleka kwenye mkutano ionekane inajaza watu ili mjidanganye mwenyewe ccm na tawi lenu.
CHAUMA NI TOILET PEPA INAYOSUBIRI KUCHAMBIWA NA CCM WAKATI WA UCHAGUZI NA KUTUPWA IKIWA NA MAVIIII
 
Dah, fedha tupu hapa Dah, hairuhusiwi kuanika picha ya yeyote yule bila ridhaa yake,
Hawa ndugu watatu waanze kunywa bia baridi sana, fedha hii.
""Wajasiriamali ndani ya Chama au wachumia tumbo mmeiponza chadema yenu sasa, ndani ya Chama mpo kwa malengo ya kibiashara halafu mnajjifanya mna machungu sana, imekula kwenu "" ""
Mkuu mbona hizo picha zimeonekana mitandaoni na magazetini lakini hamjawahi kudai malipo?
 
Back
Top Bottom