Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Hilo ni suala la habari. Haki ya kupata habari ni haki ya kikatiba kwa umma wote.Mbona hawakuidai mitandao na Magazeti?
Hii nyingine ni biashara.
Hilo ni suala la habari. Haki ya kupata habari ni haki ya kikatiba kwa umma wote.Mbona hawakuidai mitandao na Magazeti?
Hiyo picha ilishasambaa kabla kwenye magazeti, nk, kote duniani, hivyo hakuna wa kudaiwa hapoJe mchapishaji aliomba ruhusa toka kwa askari husika anayeanikwa hapo, hatua zifuatwe,
Sheria itaenda kuzungumza!Hiyo picha ilishasambaa kabla kote duniani, hivyo hakuna wa kudaiwa hapo
Huyo achana naye, ila kuna huyo mwingine kaonekana.Huyo aliyevaa soksi usoni badala ya miguuni ataanzia wapi?
Ni swali la kidhahania tu usifikiri kila anayehoji CHADEMA ni mtetezi wa CCM.😂😂 mgeacha tukatoa tishet ikavaliwa kama mwezi hivi , then ndo Askari adai chake !! Hiyo ni draft tu ! Sasa askari tunamfuta
Adai tutachanga wanachademaHuyo askari adai fedha, Je mchapishaji aliomba ruhusa toka kwa askari husika anayeanikwa hapo, hatua zifuatwe, fedha za fidia zilipwe na chama billion 5,tu hela ya mandazi!
°Amekunja kumi alama yetu chaumma, kwanini hakuonyesha ndole zake mbili!
Vaeni Vaeni kidogo bana, hakuna neno!😂😂 mgeacha tukatoa tishet ikavaliwa kama mwezi hivi , then ndo Askari adai chake !! Hiyo ni draft tu ! Sasa askari tunamfuta
Upuuzi mtupu. Na wajiandae kumlipa dearly wakifanya huo upuuzi.Huyo askari ameruhusu picha yake ionekane? Dah! Mambo mengine bwana ya ajabu ajabu tu.
umesahau kunja ngumi ya peoples power?Huyo askari adai fedha, Je mchapishaji aliomba ruhusa toka kwa askari husika anayeanikwa hapo, hatua zifuatwe, fedha za fidia zilipwe na chama billion 5,tu hela ya mandazi!
°Amekunja kumi alama yetu chaumma, kwanini hakuonyesha ndole zake mbili!
Tumebadili picha, hili toleo hutaliona, utaona lile la huyu wa soksi tuHuyo achana naye, ila kuna huyo mwingine kaonekana.
Bado mnakumbuka hii kiporo, kwa sasa kuna CHAUMMA!Viva Tundulissu
Wasije wakasema tisheti zitasababisha uhaini.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.
Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.
Mzigo wenyewe huu hapa
View attachment 3342206
Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.
Usiondoke JF
Sasa hao mapolisi waniniTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.
Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.
Mzigo wenyewe huu hapa
View attachment 3342206
Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.
Usiondoke JF