T-shirt mpya zenye picha ya Tundu Lissu iliyotikisa Mitandaoni zaanza kusambazwa

Hii ni habari ya uongo kwa 100%. Kwenye picha kuna watu wawili ambao hawawezi kuridhia picha zao kuwa sehemu ya mabango yanayotembezwa mitaani.
Na picha ya t shirt iliyowekwa hapa imewepachikwa picha ya Lisu kwa kutumia computer ili tuaminishwe kwamba tayari hizo t-shirt zimeishatengenezwa wakati sio kweli.
Mpaka utakapomuona mamaako kavaa ndiyo utaamini
 
Mkuu Tshirt hizi zimetoka tayari na zishasambazwa kuanzia Nakuru, Nairobi hadi DSM, na tayari watu wanazivaa
Hiyo DSM unaishi peke yako?! Hebu tuletee picha ya mtu mmoja aliyevaa T-shirt hiyo na akiwa ndani ya eneo lenye mkusanyiko wa watu.!
 
Huyo askari adai fedha, Je mchapishaji aliomba ruhusa toka kwa askari husika anayeanikwa hapo, hatua zifuatwe, fedha za fidia zilipwe na chama billion 5,tu hela ya mandazi!
°Amekunja kumi alama yetu chaumma, kwanini hakuonyesha ndole zake mbili!
Si walikuwa wanamlinda acha na wao wauzi sura kidogo, kila siku wapo na wafungwa
 
Usifi
Rais wa Tanzania ameweka Mabango yenye kila picha ya mtu maarufu , hata wale aliokutana nao misibani, nani kamfunga?
Usifikiri utawadanganya watu wote kwa muda wote kwa ujinga wako bwana,hizo zako ni siasa za chuki na maji taka huwa ni kupiga kelele humu huna msaada wowote kwa utatuzi wa matatizo ya wananchi!!
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Hii kama ile ya Rais Trump alipokoswa na risasi kwenye kampeni zake. Ilikuwa hivi hivi. Japo lisu hakutegemea zingefanana.

Ubunifu.
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
T shirt ndio zitamtoa jela? 😁😁

Akili zenu nyumbu ni manyumbu kabisa.
 
Usifi
Usifikiri utawadanganya watu wote kwa muda wote kwa ujinga wako bwana,hizo zako ni siasa za chuki na maji taka huwa ni kupiga kelele humu huna msaada wowote kwa utatuzi wa matatizo ya wananchi!!
Kwamba hujaona mabango ya picha za Lissu na Samia mitaani? huu ni uongo?
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Watu wanajua kutebgeza pesa.Wajibga ndio waliwao,ununue T shirt ina picha ya mtu,albaye hajawahi hata kuwa mjumbe wa mtaa.
 
Ukishaleta mada JF ushataka mdahalo.

Kama hutaki mdahalo usilete mada JF.
Una mambo mawili tu, kununua Tshirt uvae au uende Mahakamani kudai fidia kwa niaba ya Askari Magereza
 
Mpaka utakapomuona mamaako kavaa ndiyo utaamini
Wazazi wangu hawakuwa manyumbu wanaoshabikia mambo ya kipumbavu.
Mpaka wanafariki wote hawakuwahi kuvaa sare ya chama chote cha siasa wala timu ya mpira.
Na msimamo wao ndio walionirithisha na mimi ya kwamba haitatokea hata siku moja Mimi kuwa bango la kumtangaza mtu yeyote wa chama chochote.
 
Tunayemuuza ni Lissu, hao wengine ni watumishi wa Umma, kama vipi tukutane Mahakamani
Mahakamani mmepelekwa na kichapo mkapata pamoja na wageni wenu wa upinde kutoka kenya na uganda,yaani wewe ifike wakati ukae kimya tu unapoteza nguvu zako hakuna anayesapoti ujinga wako wa majukwaani tena
 
Hilo ni suala la habari. Haki ya kupata habari ni haki ya kikatiba kwa umma wote.

Hii nyingine ni biashara.
Hii ni biashara ya T shirt,ni mjinga peke yake ndio atanunua hizo t shirt.Wajinga ndio waliwao
 
Una mambo mawili tu, kununua Tshirt uvae au uende Mahakamani kudai fidia kwa niaba ya Askari Magereza
Acha kudanganya watu bwege wewe umekaa kuhamasisha ujinga humu mitandaoni watu wanauwawa na kuumizwa huko wala hutokei
 
Wazazi wangu hawakuwa manyumbu wanaoshabikia mambo ya kipumbavu.
Mpaka wanafariki wote hawakuwahi kuvaa sare ya chama chote cha siasa wala timu ya mpira.
Na msimamo wao ndio walionirithisha na mimi ya kwamba haitatokea hata siku moja Mimi kuwa bango la kumtangaza mtu yeyote wa chama chochote.
Naunga mkono hoka yako.Yaani wavyaa bzngo la matangazo.Na umetoa pesa kununua hilo bango,badala ya kulipwa wewe unayetangaza,wamlipa mtangaza biashara yake ya t shirt.Wajinga nndio waliwao
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Mkuu kwenye hizo picha za maaskari mtapigwa pin! Hairuhusiwi kuchapisha picha bila ridhaa ya mhusika, mtalipishwa mamilioni.
 
Una mambo mawili tu, kununua Tshirt uvae au uende Mahakamani kudai fidia kwa niaba ya Askari Magereza
Mimi nakupa challenge moja tu.
Kama wewe unazo hizo t-shirts au unayo moja tu uliyonunua kama shabiki wa chadema ipige picha t-shirt yako ikiwa sehemu tafauti na ilipo hiyo uliyoleta hapa ili tuamini kuwa t-shirt hizo zipo na wewe unayo ya kwako.
 
Back
Top Bottom