T-shirt mpya zenye picha ya Tundu Lissu iliyotikisa Mitandaoni zaanza kusambazwa

T-shirt mpya zenye picha ya Tundu Lissu iliyotikisa Mitandaoni zaanza kusambazwa

Una mambo mawili tu, kununua Tshirt uvae au uende Mahakamani kudai fidia kwa niaba ya Askari Magereza
Tatizo laka kama Watanzania wengi ni uwezo mdogo wa kufanya fikra dhahania. You have little to no capacity for abstract though.

Hii ni dalili ya kuwa na akili ndogo.

Kwani hatuwezi kuongelea masuala ya sheria za copyright zinasemaje kuhusu picha ya mtumishi wa umma kutumika katika biashara kama hivi bila ruhusa yake?

Kwa nini nihitaji kununua T-Shirt au kwenda mahakamani wakati mimi nia yangu ni kufanya mazungumzo ya kina kuhusu hoja za kisheria Tanzania hata kidhahania tu?

You are presenting a false dichotomy fallacy ya kununua T Shirt au kwenda mahakamani kama vile mimi ni mpinzani wa CHADEMA ninayepinga T-Shirts hizi.

I have no dog in this fight.

I am merely asking abstract questions on the legality and possible consequences.

Why should I need to go to court for that?

Do you really trust these courts to deliver justice that much?
 
Acha kudanganya watu bwege wewe umekaa kuhamasisha ujinga humu mitandaoni watu wanauwawa na kuumizwa huko wala hutokei
Wajinga ndio waliwao.Unanua t shirt,unavyaa bango la matangazo,uvae picha ya mtu,anayetafuta ugali wake wakula na wanawe
 
Dikteta roho inamuuma sana, anaweza kumtuma mulilo ili akazipige tisheti na kuzitupa kwenye msitu wa Mabwepande.
Hakuna t-shirt za aina hiyo.
Mtu mwenye nazo atuletee picha Moja nyingine tafauti na hii ambayo imepachikwa picha kwa msaada wa computer!
 
No no, hayo ni makosa makubwa Chadema ni chama kikubwa kinachopendwa na watu wasomi na makini mambo mengine ambayo hayana maana muwe mnayaacha. Mngeweka picha ya Tundu pekee amenyoosha mkono ingependenza sana.
Umeambiwa wanaotengeneza hizo T-shirt ni Chadema?
 
Huyo askari adai fedha, Je mchapishaji aliomba ruhusa toka kwa askari husika anayeanikwa hapo, hatua zifuatwe, fedha za fidia zilipwe na chama billion 5,tu hela ya mandazi!
°Amekunja kumi alama yetu chaumma, kwanini hakuonyesha ndole zake mbili!
Umekosea kuwashtua mapema mkuu! Ungewaacha kwanza hawa viande… hawajui hata idadi ya wanachama wao nchini, kazi kelele tu kulalamika wanaonewa.

Siku watakayojua kwamba chadema ni chama cha wachaga, wapare na wamasai ndo akili itawakaa sawa 😃
 
Ukishakuwa mtumishi wa umma hutakiwi kujificha
Kujificha ni jambo moja na picha yako kufanya bango linalotembezwa mitaani ni jambo jingine!
Jambo la msingi ni kwamba mleta Uzi katuletea habari ya uongo kwa sababu hizo tisheti yeye mwenyewe hana Wala hajawahi kuziona.!
 
Huyo askari adai fedha, Je mchapishaji aliomba ruhusa toka kwa askari husika anayeanikwa hapo, hatua zifuatwe, fedha za fidia zilipwe na chama billion 5,tu hela ya mandazi!
°Amekunja kumi alama yetu chaumma, kwanini hakuonyesha ndole zake mbili!
Sio askari tu magereza nao wadai maana imetumika picha ya memba.wao akiwa kavaa nguo yao.
 
Walivyo na chokochoko hawakawii kuipiga marufuku.
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
si ukute anayetengeneza na kusambaza ni mwanaccm kindakindaki, huu uchaguzi hadi uishe hadi mzunguko wa pesa mtaani utaongezeka. kuna fursa nyingi sana.
 
Back
Top Bottom