T-shirt mpya zenye picha ya Tundu Lissu iliyotikisa Mitandaoni zaanza kusambazwa

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF

Mtu asiye na akili atavaa nyumba za ibada. Pengine zivaliwe tu ni tshirt nzuri
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Hizi wszivae wale watakao ingia uwanja wa aman
 
Sijawahi kudhibiti wachangiaji kwenye mada ninazozianzisha, lakini pia huwa sikubali kuburuzwa
Ukishaanza kutupangia kuwa tununue t shirt au twende mahakamani, katika jitihada za kutuziba mdomo tusiulize mambo mengine kama ya sheria za copyright, whether unajua au hujui, ushataka kudhibiti mjadala uende unakotaka wewe tu.
 
Hawa wezi wao ni watukishi wa umma mtumishi wa umma hutakiwi kujificha kazini kwako.
This is a logical non sequitur fallacy.

Kwamba hatakiwi kujificha haina maana hana kesi ya copyright anayoweza kui raise.
 
Nitapata
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Nitapataje jozi kadhaa nami niweze kufikisha ujumbe huu muhimu wa kitaifa na kimataifa?
 
Dah, fedha tupu hapa Dah, hairuhusiwi kuanika picha ya yeyote yule bila ridhaa yake,
Hawa ndugu watatu waanze kunywa bia baridi sana, fedha hii.
""Wajasiriamali ndani ya Chama au wachumia tumbo mmeiponza chadema yenu sasa, ndani ya Chama mpo kwa malengo ya kibiashara halafu mnajjifanya mna machungu sana, imekula kwenu "" ""
Kwenye public na mtumishi wa umma unajifichaje kwenye jambo la kitaifa,na kimataifa ingekuwa picha ya kuibuliwa kutoka faraghani sawa.
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Hata Mzee Trump alinyanyaswa na mkoloni mweupe wakati fulani,ila aliporudi madarakani hakumnyanyasa ila aliyakata makucha ya mkoloni pekee.Hicho ndio kinaenda kutokea kwa mkoloni mweusi anayemnyanyasa TAL.
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Nipate pair moja.
 
Hao askari fidia wakawadai BBC maana picha imepakuliwa kutoka kwenye website ya BBC.
Sasa makunaliano baina ya BBC na hao askari binafisi siyajui
 
Back
Top Bottom