T-shirt mpya zenye picha ya Tundu Lissu iliyotikisa Mitandaoni zaanza kusambazwa

T-shirt mpya zenye picha ya Tundu Lissu iliyotikisa Mitandaoni zaanza kusambazwa

Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Nyumbu wanapigwa hela
 
Kwani kusajiliwa juzi kuna uhusiano gani na utapeli?
CHAUMMA wanakwenda fanya siasa ambazo wenzao wameshindwa! Dhumuni la Chama cha siasa ni kushuika dola sio umbea umbea!
 
Chauma bajeti inabidi iwe kubwa sana kupambana na CDM itafika wakati mtoa hela atakuja kudai hela zake mana kazi inaenda kuwashinda mapema sana huwezi kushindana na mipango ya Mungu
 
No no, hayo ni makosa makubwa Chadema ni chama kikubwa kinachopendwa na watu wasomi na makini mambo mengine ambayo hayana maana muwe mnayaacha. Mngeweka picha ya Tundu pekee amenyoosha mkono ingependenza sana.
Una uhakika kwamba taasisi ya chadema ndo imechapisha hizo t shirt? Kama ni wadau wa chadema unaiangushiaje lawama Chadema wakati haikuhusishwa wakati w uchapishwaji wa t shirt?

Wakati picha za Lissu na Samia zilipotengenezewa post na kubandikwa nchi nzima bila ruhusa ya ke ulihoji/mlihoji wapi?
 
CHAUMMA wanakwenda fanya siasa ambazo wenzao wameshindwa! Dhumuni la Chama cha siasa ni kushuika dola sio umbea umbea!

Hujajibu swali kuhusu hoja uliyoileta mwenyewe.

Kwani kusajiliwa juzi kuna uhusiano gani na utapeli?
 
Hujajibu swali kuhusu hoja uliyoileta mwenyewe.

Kwani kusajiliwa juzi kuna uhusiano gani na utapeli?
Wewe utapeli wao unauthibitisha vipi? Au ndo kipendacho roho hula nyama mbichi?
 
Shida yako ni kwamba una akili inayotaka kujadili jambo katika mtazamo finyu wa kuuza t shirt tu.

Wakati mimi napanua mazungumzo na kwenda kwa kina kwenye mambo kama ya sheria etc.

Si lazima ujibu kila post, unaweza kuona hii angle si interesting kwako ukaiacha wanaoiona iko interesting wakajibu.

Tatizo unataka uweke mada JF halafu u control watu watakavyoijadili. JF ni ukumbi huru.

That is censorship. Wewe kama mtetezi wa CHADEMA, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, unatakiwa kutofanya censorship.

Acha watu wafanye mjadala mpana, usitake kuminya mjadala uende unavyotaka wewe tu.
Halafu ndo think tank la chadema humo hilo🤣🤣🤣
 
Wewe utapeli wao unauthibitisha vipi? Au ndo kipendacho roho hula nyama mbichi?
Hujajibu swali kuhusu hoja uliyoileta mwenyewe.

Kwani kusajiliwa juzi kuna uhusiano gani na utapeli?
 
Ukishakuwa mtumishi wa umma hutakiwi kujificha
1000036081.jpg
 
Back
Top Bottom