Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,524
- 42,677
Kwamba kazi Yao inaonekanaSasa kama hakuna uhusiano kwa nini umeleta hoja ya kusajiliwa juzi?
Kwamba kazi Yao inaonekanaSasa kama hakuna uhusiano kwa nini umeleta hoja ya kusajiliwa juzi?
Umeelewa swali?Kwamba kazi Yao inaonekana
Vipi huyo askari magereza hapo ambaye hakuziba uso, na yeye atapata mgawo!Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa
Yeye ni mtumishi wa umma, analitumikia taifa, anapata mshahara wake kila mwezi.Huyo askari ameruhusu picha yake ionekane? Dah! Mambo mengine bwana ya ajabu ajabu tu.
Unaropoka tu jambo usilokuwa na ufahamu nalo!Endeleni na Ujinga.
Hiyo Sura ya Askari itawagharimu
Endeleeni na upumbavu
Askari hapo Akiwashatiki muanze kulia lia
Chauma chama cha kilaghai.Huyo askari adai fedha, Je mchapishaji aliomba ruhusa toka kwa askari husika anayeanikwa hapo, hatua zifuatwe, fedha za fidia zilipwe na chama billion 5,tu hela ya mandazi!
°Amekunja kumi alama yetu chaumma, kwanini hakuonyesha ndole zake mbili!
Tamu sanaa, imependezaTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.
Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.
Mzigo wenyewe huu hapa
View attachment 3342206
Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.
Usiondoke JF
Labda hawajui.toa ushauriHapo ndo CDM wanafeli. Mambo madogo madogo tu wanashindwa kung'amua. This is setting the stage for more trouble.
Naomba Tano , 2 za watoto wangu wadogo,mwaka mmoja na miaka minne, tatu za wake zangu na Moja ya kwanguTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.
Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.
Mzigo wenyewe huu hapa
View attachment 3342206
Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.
Usiondoke JF
Mwamba💪🏿💪🏿💪🏿✌🏿 sisi huku bado tunagawa vizibaoTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.
Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.
Mzigo wenyewe huu hapa
View attachment 3342206
Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.
Usiondoke JF
Kwa hiyo mwasambaza picha za nyumbu mwenzenulissu ndo sera na malengo ya chama, kwa hyo nyie mnaosambaza tshet, kanga, boxer, chupi, pikipiki, ng'ombe, nguruwe wenye picha ya chura kiziwi ndo mnatangaza sera na malengo ya fisiemu na ndo wenye akili siyo?
Askari akiwashitaki jeTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.
Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.
Mzigo wenyewe huu hapa
View attachment 3342206
Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.
Usiondoke JF
Ngoja tuone watakoivaa na kukatiza nayo mtaaniTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.
Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.
Mzigo wenyewe huu hapa
View attachment 3342206
Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.
Usiondoke JF
Alikaa karibu na nyumbuAlitumwa akae karibu na Lisu?
Kuna tatizo?Ngoja tuone watakoivaa na kukatiza nayo mtaani
Noma sana!Mwamba💪🏿💪🏿💪🏿✌🏿 sisi huku bado tunagawa vizibaoView attachment 3342456
Hiyo ni ngumi ya zungusha kamanda,"PEOPLE'S.... POWER!".Huyo askari adai fedha, Je mchapishaji aliomba ruhusa toka kwa askari husika anayeanikwa hapo, hatua zifuatwe, fedha za fidia zilipwe na chama billion 5,tu hela ya mandazi!
°Amekunja kumi alama yetu chaumma, kwanini hakuonyesha ndole zake mbili!
Nazipataje mkuu nipo ilala.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.