T-shirt mpya zenye picha ya Tundu Lissu iliyotikisa Mitandaoni zaanza kusambazwa

Huyo askari adai fedha, Je mchapishaji aliomba ruhusa toka kwa askari husika anayeanikwa hapo, hatua zifuatwe, fedha za fidia zilipwe na chama billion 5,tu hela ya mandazi!
°Amekunja kumi alama yetu chaumma, kwanini hakuonyesha ndole zake mbili!
Vipi askari alisema Hana shida
 
Tatizo laka kama Watanzania wengi ni uwezo mdogo wa kufanya fikra dhahania. You have little to no capacity for abstract though.

Hii ni dalili ya kuwa na akili ndogo.

Kwani hatuwezi kuongelea masuala ya sheria za copyright zinasemaje kuhusu picha ya mtumishi wa umma kutumika katika biashara kama hivi bila ruhusa yake?

Kwa nini nihitaji kununua T-Shirt au kwenda mahakamani wakati mimi nia yangu ni kufanya mazungumzo ya kina kuhusu hoja za kisheria Tanzania hata kidhahania tu?

You are presenting a false dichotomy fallacy ya kununua T Shirt au kwenda mahakamani kama vile mimi ni mpinzani wa CHADEMA ninayepinga T-Shirts hizi.

I have no dog in this fight.

I am merely asking abstract questions on the legality and possible consequences.

Why should I need to go to court for that?

Do you really trust these courts to deliver justice that much?
Shida yako ni kwamba unaleta mada juu ya mada, Mimi nimeleta hoja ya Tshirt zenye picha hizo ulizoziona, sasa masuala ya kisheria ni jambo lingine ambalo unanilazimisha kuliingiza humu, unasema nina akili za kitanzania lakini bado unataka tuendelee kujadili na wewe mwenye akili ya kijapani!
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Iko poa. Hizo picha za wajela jela zifanywe vivuli vyao.
 
Badala ya kuhamasishana kusambaza tisheti zenye sera na malengo ya chama mnamsambaza lisu ,hamna akili
lissu ndo sera na malengo ya chama, kwa hyo nyie mnaosambaza tshet, kanga, boxer, chupi, pikipiki, ng'ombe, nguruwe wenye picha ya chura kiziwi ndo mnatangaza sera na malengo ya fisiemu na ndo wenye akili siyo?
 
Watu Wanaongea Fidia Ipi Na Kwa Nani
Vituo Ya Radio, Television, Gazette
Zamani Zilitakiwa Wimbo Ukipigwa Ama Kuchapwa Kwenye Gazette

Walipwe Wanamuziki Mbona Hakuna Lolote
 
Naona CHAUMA kinazidi kuchanganya watu tu; ndo ujinga gani huu?!!! Itasaidia nini' katika ushindi wa 98% wa mama la Mamama, Dr Samia Suluhu Hassan? Si t-shirts tu, mwekeni mpaka kwenye chupi makalioni lkn akivunja adabu atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria kama kawa.
 
Shida yako ni kwamba unaleta mada juu ya mada, Mimi nimeleta hoja ya Tshirt zenye picha hizo ulizoziona, sasa masuala ya kisheria ni jambo lingine ambalo unanilazimisha kuliingiza humu, unasema nina akili za kitanzania lakini bado unataka tuendelee kujadili na wewe mwenye akili ya kijapani!
Shida yako ni kwamba una akili inayotaka kujadili jambo katika mtazamo finyu wa kuuza t shirt tu.

Wakati mimi napanua mazungumzo na kwenda kwa kina kwenye mambo kama ya sheria etc.

Si lazima ujibu kila post, unaweza kuona hii angle si interesting kwako ukaiacha wanaoiona iko interesting wakajibu.

Tatizo unataka uweke mada JF halafu u control watu watakavyoijadili. JF ni ukumbi huru.

That is censorship. Wewe kama mtetezi wa CHADEMA, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, unatakiwa kutofanya censorship.

Acha watu wafanye mjadala mpana, usitake kuminya mjadala uende unavyotaka wewe tu.
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Hili ni kosa lingine mnajifanya.Unawekaje picha za watu kwenye mafulana bila ridhaa yao?Msifanye siasa kichwakichwa
 
Shida yako ni kwamba una akili inayotaka kujadili jambo katika mtazamo finyu wa kuuza t shirt tu.

Wakati mimi napanua mazungumzo na kwenda kwa kina kwenye mambo kama ya sheria etc.

Si lazima ujibu kila post, unaweza kuona hii angle si interesting kwako ukaiacha wanaoiona iko interesting wakajibu.

Tatizo unataka uweke mada JF halafu u control watu watakavyoijadili. JF ni ukumbi huru.

That is censorship. Wewe kama mtetezi wa CHADEMA, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, unatakiwa kutofanya censorship.

Acha watu wafanye mjadala mpana, usitake kuminya mjadala uende unavyotaka wewe tu.
Sijawahi kudhibiti wachangiaji kwenye mada ninazozianzisha, lakini pia huwa sikubali kuburuzwa
 
Lissu kashakua hazina ya Taifa.alaf anatokea mbowe na tamaa zake eti kugombea uraisi kuzima kiki ya lissu mwabien mzee wenu akae kwa kutulia mana tutamdhalilisha sana utu wake
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Inasaidia nini?
 
Back
Top Bottom