T-shirt mpya zenye picha ya Tundu Lissu iliyotikisa Mitandaoni zaanza kusambazwa

Huyo askari ameruhusu picha yake ionekane? Dah! Mambo mengine bwana ya ajabu ajabu tu.
Tofauti ya huyu na kibaka ni sare tu.
IMG_20250519_115550.jpg
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Hii ni habari ya uongo kwa 100%. Kwenye picha kuna watu wawili ambao hawawezi kuridhia picha zao kuwa sehemu ya mabango yanayotembezwa mitaani.
Na picha ya t shirt iliyowekwa hapa imewepachikwa picha ya Lisu kwa kutumia computer ili tuaminishwe kwamba tayari hizo t-shirt zimeishatengenezwa wakati sio kweli.
 
Ni kukosa akili
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.

Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.

Mzigo wenyewe huu hapa

View attachment 3342206

Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.

Usiondoke JF
Maandishi ya: No reforms, No erection mbona hayo
 
Tunayemuuza ni Lissu, hao wengine ni watumishi wa Umma, kama vipi tukutane Mahakamani
Kuwa mtumishi wa umma hakumaanishi kuwa huna hoja ya image yako kutumiwa usivyotaka kwenye masuala ya copyright.
 
Mkuu Tshirt hizi zimetoka tayari na zishasambazwa kuanzia Nakuru, Nairobi hadi DSM, na tayari watu wanazivaa
 
Tunayemuuza ni Lissu, hao wengine ni watumishi wa Umma, kama vipi tukutane Mahakamani
Kama kuna mtu ataonekana siku moja hadharani kavaa t-shirt yenye picha uliyoiposti, Mimi nitavua nguo zangu nitembee uchi.
Chadema mnapenda sifa hadi kwa kuposti vitu ambavyo havipo wala haviwezekani!
Fulana yenye picha hiyo haiwezi tengenezwa na ikitengenezwa haitavaliwa na mkivaa mtapigwa virungu na mabuti hadi maji mtayaita mmmma!
 
Back
Top Bottom