TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
PeoperTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Picha Kabambe ya Tundu Lissu, iliyopatikana kwenye Mahakama ya Kisutu 19 May imeanza kusambazwa kila mahali Nchini Tanzania na Jamhuri ya Watu wa Kenya.
Picha hiyo inasambazwa ikiwa juu ya Tshirt Kabambe unayoweza kuivaa kwenye mtoko wowote zikiwemo hata nyumba za Ibada.
Mzigo wenyewe huu hapa
View attachment 3342206
Utaratibu wa namna ya kupata Tshirt hii ambayo tuna mpango wa kuiingiza kwenye Nembo za Taifa utatolewa.
Usiondoke JF
Na hilo domo lilivyowazi ni safi kabisa
Zero brain full domozzz