Mkuu, nikueleze tu kwamba hakuna jipya hata moja uliloeleza hapa ambalo ni geni kwangu; kwa maana hata mimi ninayo 'profession' inayolindwa na maadili hayo unayozungumzia hapa.Kama bado hujaelewa, sina namna nyingine ya kukuelimisha. Professional ethical codes of conducts are mandatory to every member of that profession.
Maadili yakitaaluma ' toka moja kwenda nyingine hayafanani.
Code of ethics zinazowahusu madaktari kazini kwao siyo zinazotumika maeneo mengine.
Masinji asingeweza kutumia ethics za udaktari wake katika mambo ya siasa. Angefanya makosa huko ndani ya siasa, hilo lisingechukuliwa kuwa ni kukiuka code of ethics za udaktari wake. Sheria ingemshughulikia yeye nje ya taaluma yake.
Lakini pamoja na yote hayo, unachojaribu kuhalalisha hapa, na kinachofanywa na huyo mwanasheria mkuu, ni kutaka kutumia kanuni hizi za kitaaluma kisiasa, kunyamazisha watu.
This is wrong.