Taaluma isiyo na maadili sio taaluma. Hongera AG kwa kulisimamia hili lakini kwanini usimfutilie mbali Uwakili wa Tundu Lissu badala ya Mwabukusi?

Taaluma isiyo na maadili sio taaluma. Hongera AG kwa kulisimamia hili lakini kwanini usimfutilie mbali Uwakili wa Tundu Lissu badala ya Mwabukusi?

Kama bado hujaelewa, sina namna nyingine ya kukuelimisha. Professional ethical codes of conducts are mandatory to every member of that profession.
Mkuu, nikueleze tu kwamba hakuna jipya hata moja uliloeleza hapa ambalo ni geni kwangu; kwa maana hata mimi ninayo 'profession' inayolindwa na maadili hayo unayozungumzia hapa.
Maadili yakitaaluma ' toka moja kwenda nyingine hayafanani.
Code of ethics zinazowahusu madaktari kazini kwao siyo zinazotumika maeneo mengine.

Masinji asingeweza kutumia ethics za udaktari wake katika mambo ya siasa. Angefanya makosa huko ndani ya siasa, hilo lisingechukuliwa kuwa ni kukiuka code of ethics za udaktari wake. Sheria ingemshughulikia yeye nje ya taaluma yake.

Lakini pamoja na yote hayo, unachojaribu kuhalalisha hapa, na kinachofanywa na huyo mwanasheria mkuu, ni kutaka kutumia kanuni hizi za kitaaluma kisiasa, kunyamazisha watu.
This is wrong.
 
Kumwita rais wa nchi matope ni kitu gani kama si matusi? Au wewe kwako ni maneno gani ni matusi? Kwako matusi ni yale ya nguoni tu?
matope ni matusi tangu lini mkuu au hujui kiswahili? na wasira kumuita lisu muongo siyo tusi? acha uchawa bhana
 
Kumwita rais wa nchi matope ni kitu gani kama si matusi? Au wewe kwako ni maneno gani ni matusi? Kwako matusi ni yale ya nguoni tu?
Kama rais anafanya vitendo vinavyoonekana kutokuwa kwa maslahi ya nchi, rais huyo anastahili staha ya namna gani?
Jambo zima linafanyika kijanja janja, kwa maksudi lipite, unataka watu waheshimu kitu gani hapo!
 
Mwananchi wa kawaida atashughulikiwa na sheria za nchi kama amezivunja. Huyo professional atashughulikiwa kote kote kama amevunja professional ethical codes of conducts na kama pia amevunja sheria za nchi at the same time.
Kwa hiyo ikitokea mwananchi ametoa matamshi kama ya Lissu utashauri ashitakiwe?
 
Kumwita rais wa nchi matope ni kitu gani kama si matusi? Au wewe kwako ni maneno gani ni matusi? Kwako matusi ni yale ya nguoni tu?
Binaadam ameumbwa kutokana na hayohayo matope na matopeni tutarudi
 
Back
Top Bottom