Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 422
- 802
Wapo wengiIvi inawezekana ukakopa kabla ya kuwalipa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wengiIvi inawezekana ukakopa kabla ya kuwalipa?
Wapo wengi
AiseeWapo wengi
Usipowalipa inakuwaje, japokuwa wanasumbuaDawa ya deni ni kulipa mkuu
Sio fresh Mkuu 😂😁Usipowalipa inakuwaje, japokuwa wanasumbua
Hata ukiwalipa, heshima yako unarudi?Lipa mkuu acha usumbufu
😂😂😂Sio fresh Mkuu 😂😁
Ukiwalipa heshima yako inarudi?Lipa mkuu
Haya sawaUkiwalipa heshima yako inarudi?
kuna mdau yupo blacklisted kwa sababu alikimbia deni la songesha kwa kutupa line kabisaHabari za Leo wakuu.
Unasema siafu ni wasumbufu, wanang'ata, je umewahi kuvumilia usumbufu wa hao wakopeshaji wa mtandaoni?View attachment 2961282
Aiseeekuna mdau yupo blacklisted kwa sababu alikimbia deni la songesha kwa kutupa line kabisa
kwa sasa vyombo vyote vinavyotumia mfumo kuangalia ni wapi unadaiwa hakopesheki
Ni sahihi lakin sio kwa matusi yale
Ni bora ukalipa ili waache kukutukana tena, asa unataka waendelee kukudhalilisha hadi lini?Ni sahihi lakin sio kwa matusi yale
😂🤣😁😁View attachment 2961290
Hawa jamaa ni kero sana aisee. Mlivyokopeshana hatukushiriki ila mkidaiana mnasumbua wengine