Hizi utakiwi kuchelewa kulipa Zinariba kila siku marejesho ndani ya siku Tano japo wanasema siku saba.
Riba kubwa nusu ya mkopo wenyewe.
Wanachukua riba yao kabla ujawekewa mkopo ila utarejesha mkopo wote.
Mfano elf 70 unapewa elf 45 makato ya utoaji pesa juu yako.
Makato ya kurejesha pesa juu yako so ktk hio 45 utapata 40 kamili so elf 30 ndo gharama ya mkopo.
Zile tunakopesha hadi million 2 kwa siku 90 ni uongo tu.
Hakuna inatoa zaidi ya siku saba.