KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Fanya hivi nenda setting>Privacy>permission manager>apps that can control your data....ukifungua huk utazikuta app zote ulizo allow ku access simu yako then gusa moja moja utakuta kipengele cha dont allow.
Nataka nikpe Branch naomba kujua na hao vipi siyo wasumbufu? Hawata Access my contacts
 
Kiongozi tupe jina la app ilo
kuna nyingine Pesa X wana maneno ya shombo hadi niliwasave wote namba zao 11 kwenye access nilifinya kuna app moja ilikuwa hacked ilikuwa inaruhusu kupata sms na namba lakin inawapa empt kwahyo hawakupata access yoyote
 
Hizi utakiwi kuchelewa kulipa Zinariba kila siku marejesho ndani ya siku Tano japo wanasema siku saba.
Riba kubwa nusu ya mkopo wenyewe.
Wanachukua riba yao kabla ujawekewa mkopo ila utarejesha mkopo wote.
Mfano elf 70 unapewa elf 45 makato ya utoaji pesa juu yako.
Makato ya kurejesha pesa juu yako so ktk hio 45 utapata 40 kamili so elf 30 ndo gharama ya mkopo.
Zile tunakopesha hadi million 2 kwa siku 90 ni uongo tu.
Hakuna inatoa zaidi ya siku saba.
 
Back
Top Bottom