KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nimewauliza hawajapiga Tena!
Sasa hapo changamoto ni hii hapa:

Mteja anaoverdue kwa stages.

Huyu wa stage hii hajapiga tena utaenda stage nyingine utapigiwa tena.

Tatizo staff anaweza asijue anatakiwa kuhandle vipi scenario instead anaopt kukata simu.

Kuna stage ukifika hautapigiwa tena but itaacha doa kwenye credit score yako
 
They are beatable, inahitaji mtu mmoja tuu aamue kutumia pesa kupata good lawyers ili kuwatia adabu mpaka kuwafilisi na itakuwa fundisho kwenye vikampuni vingine vya namna hiyo
 
They are beatable, inahitaji mtu mmoja tuu aamue kutumia pesa kupata good lawyers ili kuwatia adabu mpaka kuwafilisi na itakuwa fundisho kwenye vikampuni vingine vya namna hiyo
Shida mara nyingi hata hizo kampuni zina operate kijanja janja. Kwa mfano ukiwashtaki, barua ya summons kuwaita mahakamani unaipeleka wapi? Ofisi zao ziko wapi?
 
Zachini chini, wanapiga pesa ndefu kwenye kuwatisha watu kuwa watavujisha picha na video zao za uchi au ngono,..hivyo kuna watu wanalipa kila mwezi hata baada ya mkopo kuisha....

Ni bora tu uwe na maamuzi kama ya TIWA SAVAGE, sikulipi vujisha tu.

Kwani hizi ofisi mahali zilipo hazijulikani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…