KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
hahahahhahaah
 
Ili na wao wakuheshimu usiwalipe, watu wanao kopesha mitandaoni hua hawanaga staha kwenye kudai, ni majinga ya kufa, yanamkera mtu kiasi watu wengine hua wanaamua kuwapotezea, wanafanya vitisho vyao mpaka wanachoka wananyamaza
 
Mi walinyamaza. Kismingi sikukopa ila.niliona tangazo la app yao nikadownload nilaanza kuongiza details hususani majina na namba ya simu then Nika iun install app yao. Kidogo naona muamala huo. Sijajua umetoka wapi? Nikauchuna, tigo wakala sonhesha yao. Jamaa walinipigia sasa wamenyamaza.
 
Ungefanya kuwalipa kwa wakati hiyo pesa yao kisha uifowad hiyo sms kwa jamaa zako wote waliokutafuta ili kuondoa hiyo fedheha.

Kisha tafuta sasa msaada wa sheria wakulipe fidia ikiwezekana.
 
Kuna jamaa huwa anasisitiza sana hili, circle yako ikoje, umezungukwa na watu gani.

Je ni wale hata ukitaka ten tu mpaka upige sim 20 ndo upate, au sms moja tu unaconfirm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…