Taarifa kutoka TRA kuhusu kubadilisha umiliki wa chombo cha moto

...najaribu kuweka taswira ya huyo manzi alivyoshangaa....Mara paap chuma ikaondolewa ha ha ha 🤣
 
Nimeangalia deni, 16k hata sijui wapi imetoka. Kumbe wanaandika hata hawaweki risiti, futseke zao!
 
Na sahio ni saa 12 kasoro jioni anapita zake mitaa ya afrikasana naona ndio anaelekea kukabidhi mashine ofisini basi kila parking anayokuta magari anapiga kituo anabofya kimashine chake anawaingiza watu matatizoni bila kujua! 😅😅😅
Hatari sana....

"Anapalasa" chapchap kabla kagiza kuingia 🤣
 
Nimeangalia deni, 16k hata sijui wapi imetoka. Kumbe wanaandika hata hawaweki risiti, futseke zao!
Risiti haweki anakudumbukiza tu, saingine si unakuta roller imeisha kwahio anakujazieni tu akifika kuprint Z report inakamua na reciept zote ambazo alitakiwa awaprintie 😅 sasa imagine utalipaje bila control number?
 
Risiti haweki anakudumbukiza tu, saingine si unakuta roller imeisha kwahio anakujazieni tu akifika kuprint Z report inakamua na reciept zote ambazo alitakiwa awaprintie [emoji28] sasa imagine utalipaje bila control number?
Futseke zao![emoji35]
 
Mnaosema kwamba utainunua uendelee kuitumia bila kubadilisha Labda Kama umepanga iwe ndoa ya kikristo,vinginevyo kwenye kuuza itakutoa kamasi
Labda itokee bahati umpate mjinga mjinga ndio umuuzie gari isiyokuwa na jina lako.

Vile vile Kwa wale wafanyakazi wa serikali wanao" declare " Mali akikuuzia gari anakomaa na wewe ubadilishe, hali kadhalika wahindi ndio kabisa huchukui gari mpaka ukabadilishe.

Binafsi sioni tatizo hapo hata Kama gari ni la marehemu utaratibu wa mirathi Upo na Unaeleweka kisheria.
Hii itasaidia kuzuia uuzaji wa magari ya wizi na kulipa Kodi Kwa Wakati
 
Itatekelezwa kwa muda wa miezi 3 tu, kisha utaratibu wa kale kuendelea.
Ila hapo kitakachofanyika ni mwendo wa pesa mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…