Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣😄😄😄 Na hujadhurika kwa chochote Maisha yanaenda bila shida yoyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣😄😄😄 Na hujadhurika kwa chochote Maisha yanaenda bila shida yoyote.
Umejuaje Kama kasoma Udsm? Acha dhrauHence: watu hawatauziana na tra Watakosa mapato
Hawa majamaa wamesomea wapi!?
Udsm ndio inaleta majitu kama haya au degree za chupli chupli?
Yaani jitu linaongea kiurahisi tu halijali yaani
Yes ila sikumbukiIvi kuna namna ya kujua kama unadaiwa mtandaoni...msaada kwa anae fahamu
Na sahio ni saa 12 kasoro jioni anapita zake mitaa ya afrikasana naona ndio anaelekea kukabidhi mashine ofisini basi kila parking anayokuta magari anapiga kituo anabofya kimashine chake anawaingiza watu matatizoni bila kujua! 😅😅😅🤣🤣
...najaribu kuweka taswira ya huyo manzi alivyoshangaa....Mara paap chuma ikaondolewa ha ha ha 🤣Juzi nimemgumia demu anataka kuniandikia ile kaingiza T722 paaap!
Nikamshika bega,,, wewe unafanya nini hapo hebu usiniingize bana mie naondoka sasa hivi nimekuja kufanya delivery ya mzigo mda si mrefu! Huyo nikaingia ndani ya chombo na kusepa.
Kwa style ile unaweza kuandikiwa charges hata ukiwa umepaki bar bila wewe kujua aisee!
Mpumbavu sana yani 😅😅😅...najaribu kuweka taswira ya huyo manzi alivyoshangaa....Mara paap chuma ikaondolewa ha ha ha 🤣
Nimeangalia deni, 16k hata sijui wapi imetoka. Kumbe wanaandika hata hawaweki risiti, futseke zao!Juzi nimemgumia demu anataka kuniandikia ile kaingiza T722 paaap!
Nikamshika bega,,, wewe unafanya nini hapo hebu usiniingize bana mie naondoka sasa hivi nimekuja kufanya delivery ya mzigo mda si mrefu! Huyo nikaingia ndani ya chombo na kusepa.
Kwa style ile unaweza kuandikiwa charges hata ukiwa umepaki bar bila wewe kujua aisee!
Kasoma wapi?Umejuaje Kama kasoma Udsm? Acha dhrau
Hatari sana....Na sahio ni saa 12 kasoro jioni anapita zake mitaa ya afrikasana naona ndio anaelekea kukabidhi mashine ofisini basi kila parking anayokuta magari anapiga kituo anabofya kimashine chake anawaingiza watu matatizoni bila kujua! 😅😅😅
Risiti haweki anakudumbukiza tu, saingine si unakuta roller imeisha kwahio anakujazieni tu akifika kuprint Z report inakamua na reciept zote ambazo alitakiwa awaprintie 😅 sasa imagine utalipaje bila control number?Nimeangalia deni, 16k hata sijui wapi imetoka. Kumbe wanaandika hata hawaweki risiti, futseke zao!
🤣Nimeangalia deni, 16k hata sijui wapi imetoka. Kumbe wanaandika hata hawaweki risiti, futseke zao!
Ngumu na ni waste of people’s timeUgumu Wake Ukoje Mkuu?
Futseke zao![emoji35]Risiti haweki anakudumbukiza tu, saingine si unakuta roller imeisha kwahio anakujazieni tu akifika kuprint Z report inakamua na reciept zote ambazo alitakiwa awaprintie [emoji28] sasa imagine utalipaje bila control number?
Ivi kuna namna ya kujua kama unadaiwa mtandaoni...msaada kwa anae fahamu
Kwakweli hii ya parking shughuli pevu unadaiwa hujui Deni ni la liniNgumu sana sana kama ile ya Jamaa we TARURA wanaokusanya Parking Fee ya 500 bila kukupa taarifa
Jau FC🤣🤣Umekakariri?
Kanalipa?
Hahahah parking imekuwa kama kadi za harusi! Unaletewa card hata muoaji humjui kwa sura😅Kwakweli hii ya parking shughuli pevu unadaiwa hujui Deni ni la lini