Taarifa kutoka TRA kuhusu kubadilisha umiliki wa chombo cha moto

Sasa Kama Mmiliki Wa Awali Yuko Mbali au amefariki Ts means Hawawezi Kufanya Transfer?
Mamnina zao wauza magari wametesa sana wazee wastafu kwa magari ya wizi

USSR
 
Wengine sisi na 'makonkodi' wa kununua na kuuza magari 3rd hand used bila kubadilisha umiliki na hayajawahi kua ndoa za kikristo.Nina miaka zaidi ya 14 nikifanya hivyo.

Labda hayo matatizo yaanze Leo asubuhi.
 
Nionalo kwa baadaye ikiwa mwitioo utakua mdogo, polisi watatumika kwenye hili zoezi. Ukisimamishwa unaombwa kadi na kitambulisho chako. Ukisema umeazima kwa siku moja gari inawekwa kituoni ukamlete mmiliki halali. Ugumu utakuja pale utakapokua umemuacha mmiliki dar na wewe uko uyole.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Tozo nyingine tena au ilikuwepo?
 
Mambo mengine huleta ugumu wa maisha tu bila sababu. Let's agree that there are issues can work better in Europe or America but not in Africa, at least in some decades to come. Otherwise watajikuta wanakosa hata hicho kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…