Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
Mkuu unaelewa sheria?Unaelewa sheria ya takwimu?Unajua ninachokifanya?Unajua matumzi ya taarifa ninazokusanya?Unajua iwapo nina kibali?Unajua chochote kuhusu mimi.Jibu ni kwamba you have limited knowledge.Mkuu bila kukuficha hili zoezi lako lina ukakasi mwingi sana.
Ila bila kukukatisha tamaa we endelea ila kama alivosema mdau mmoja apo juu hakikisha unakuwa na kibali cha watu wa takwimu maana ndo kazi zao hizo kabla watu hawajakuripoti ikawa noma kwako na waliokutuma.
kwa hili neno ulilotumia we si mtu wa kawaida! nyie ndio walewale msiojulikana, na safari hii mtajulikana tuparanoia
Huyu ni bashite mwenyewe. Kajamaa kanependa drama sana
Mna mu overate sana Bashite.Sipendi kuhusishwa naye.Hahusiki kwa namna yoyte ile katika jambo hili na wala kwa principles zangu sidhani kama naweza kufanya kazi na mtu wa calibre yakeNi 'Mpumbavu' sijapata Kuona, halafu anadhani anaweza Kufanya hizi 'Drama' zake na wenye Akili 'tulizobarikiwa' nazo na Mungu hatutomshtukia.
acha porojo umetumwa na Makonda ww, au unadhani humu ndani wamejaa watoto?
Miaka mitano iliyopita ulikuwa wapi?
Kama kweli huna malengo ya kisiasa kwanini usisubiri uchaguzi upite uje na hizi tafiti zako?
Mkuu kama nia ni ubunge hujapitwa, kuna vyama kadhaa bado havijapata wagombea Kigamboni.
Kama nia yako ni tiketi ya CCM unachofanya ni fujo maana wana CCM wa Kigamboni waneshaamua.
It is a valid question, who are you na why kigamboni. I would add another question, why now ?
Those who live in the said area don't need a study, to create a wishlist. The issues are known
Your email address is mbungekigamboni .... that also raises more questions...
We aren't that dumb.. !!
Why Kigamboni,ndiyo shida inapoanzia mkuu.....ungesema dsm kwa ujumla sawa.....ila kwa upepo wa siasa za kigamboni siku za karibuni utaonekana umetumwa tuMkuu,kwa nini tunakuwa n fikra za hivi?
Huyo mleta uzi lazima atakuwa ni team Bashite.
Wewe Bashite hem tulia huko. Mbona una kihere here weweee. Unapenda kujipenyeza kama ushuzi.
Mbona unapenda sana uongozi weweeee.
Mijitu mingine bhana
Mkuu umenichekesha sana.....eti unafanya mambo kisasa[emoji23][emoji23][emoji23]......haya kila lakheri bana.Mkuu unaelewa sheria?Unaelewa sheria ya takwimu?Unajua ninachokifanya?Unajua matumzi ya taarifa ninazokusanya?Unajua iwapo nina kibali?Unajua chochote kuhusu mimi.Jibu ni kwamba you have limited knowledge.
Najua hofu ya watanzania ni kwamba hamjazoea watu kufanya mambo kisasa na ndio maana mnakuwa na hofu na mashaka.
Wewe kama ni mkazi wa Kigamboni unaweza leta maoni yako kuhusu maeneo ambayo ungependa yawe kipaumbele katia kujadiliwa kipindi hiki cha uchaguzi na pia katika miaka mitano ijayo.Hayo mengine ni hofu tu za watu
Afungue pm yanini. Kwendra kule unatuchafulia mazingira hapa.
Okay vizuri,kaanzie kijijini kwenu huko ulikotokea kabla ya kigamboni,babu na bibi zako wanateseka hukoMkuu,Tunaweza fanya na kwingine pia
Jitambulishe tukujue we ni nani na uchunguzi wako utasaidia vipi wamanchi au mamalaka za juu.
Bado anahangaika tu?? Kuna watu hawakati tamaa.Mkuu ajitambulishe mara ngapi tena Kwetu wakati wenye 'Akili' kumzidi Yeye na wana 'Bashite' wake wote tumeshamjua Yeye ni Paul C. Makonda?
Acha kumu overate Makonda....