Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Ni mama mswahili swahili tu. Umesikiliza hata alivyoongea kimipasho jana?Hotuba zake zote zinakuaga controversial, nashauri aachane na mambo ya kuhojiwa na hotuba. Hayupo vizuri kuzungumza vitu mbalimbali
Anamfikia jiwe?Hotuba zake zote zinakuaga controversial, nashauri aachane na mambo ya kuhojiwa na hotuba. Hayupo vizuri kuzungumza vitu mbalimbali
Hata Mimi NimeshangaaTbC kabisa
[emoji2]TbC kabisa
HakunaNani anahangaika kutazama tbccm
Moja ya kitu anachofeli ni namna anavyozungumza na public, hotuba zake zote huwa zina makosa mengi sana. Sijui huww hajiandai vizuriNi mama mswahili swahili tu. Umesikiliza hata alivyoongea kimipasho jana?
Wote walewale tu, huwa najiuliza tatizo sijui linakuwaga nnAnamfikia jiwe?
TBC ina tofauti gani na CCMSalaam Wazalendo Wote
Tafadhali soma Taarifa yote Kama ilivyoambatanishwa hapo chini
View attachment 2096657
Hata kidogo,Jiwe alikuwa ni mpayukaji.Anamfikia jiwe?