Taarifa kwa Umma: Rais Samia Kufanya Mahojiano na TBC Januari 27, 2022

Taarifa kwa Umma: Rais Samia Kufanya Mahojiano na TBC Januari 27, 2022

Mnatakiwa kujua ya kuwa scripted scripts kwa mahojiano ya wanahabari na kiongozi yeyote mkubwa yako dunian kote sio TBC tu
 
Moja ya kitu anachofeli ni namna anavyozungumza na public, hotuba zake zote huwa zina makosa mengi sana. Sijui huww hajiandai vizuri
Makosa yalianza tangu siku anatangaza kifo cha JPM.

Alisema tutakuwa na maombolezo kwa siku 14. (Rais akifariki akiwa madarakani maombolezo ni siku21)
 
Huenda watu wengi watakuwa wakifuatilia yatakayojiri Mahakamani kwenye kesi ya Mbowe then watafuatilia mechi za Afcon 2021!
 
Nafasi ya kumuomba msamaha Mbowe... na akiacha albadir itafuata shauri zake
 
Sahivi yupo anameza madesa aliyopewa akajibu kesho..hii nchi mmewafanya watanzania wajinga sana..kama anataka ahojiwe aite vyombo vyote vya habari ndani na njr ya nchi ndio tutaona uwezo wake halisi..tofauti na hapo ni upuuzi tu na mapambio tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadri wanavyompa "majukwaa" ya kumpamba rais wetu ndivyo wanavyozidi kumuharibia kwa kuyaanika mapungufu yake mengi(hata Mimi ninayo mapungufu) nje ya makaratasi anayoandikiwa mama ni mweupe mno kichwani....

Acheni kumuanika tafadhari, acha tuendelee kuwa na matumaini naye kuwa atajifunza kadri muda unavyosigea!
 
Happy birthday Mama, Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu yenye baraka tele.
 
Back
Top Bottom