Taarifa kwa Umma: Rais Samia Kufanya Mahojiano na TBC Januari 27, 2022

Anaweza akawa ni Rais anayeongoza kuhojiwa/kuhutubia mbele ya vyombo vya habari...
 
Hotuba zake zote zinakuaga controversial, nashauri aachane na mambo ya kuhojiwa na hotuba. Hayupo vizuri kuzungumza vitu mbalimbali
Majibu yake huleta utata na gumzo
"Nadhani wenzake walishahukumiwa"
 
Wafanyakazi wananyanyaswa na maafisa utumishi mapunjo hayapelekwi wizarani. Aondoe maafisa utumishi wanaofanya kazi kwa mazoea. Aweke fresh from vyuoni wilaya zote. Ataona mafanikio mapema
 
Wafanyakazi wananyanyaswa na maafisa utumishi mapunjo hayapelekwi wizarani. Aondoe maafisa utumishi wanaofanya kazi kwa mazoea. Aweke fresh from vyuoni wilaya zote. Ataona mafanikio mapema
Mfanyakazi unatoa povu
 
Muda huu anahangaika na kukariri majibu
 
Tunamuhitaji freelance journalist ndiye amuhoji na mwandishi aliyeajiriwa na umma.
 
Moja ya kitu anachofeli ni namna anavyozungumza na public, hotuba zake zote huwa zina makosa mengi sana. Sijui huww hajiandai vizuri
Ulitaka ajiandae vipi? Hapo ndipo kajiandaa tayari.
 
Ile kama ulikuja mjini toka barana mfuko wa rambo huwezi kuielewa,, wa mjini hawaoni shida na methali ile[emoji23][emoji23]
Sio cha kuchekesha hapo..
Ishu za msingi huwa hamzitilii maanani siju ndio upeo wenu wa akili umefika kikomo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…