kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa karibu wa DC mmoja Kanda ya ziwa anaeleza kwamba rafiki yake ameshaomba na ametuma baadhi ya wazee wazungumze na mamlaka za uteuzi aruhusiwe kuacha kazi na kwenda kujiendeleza au kujiunga na Shirika moja huko nje.
Taarifa zinaeleza kwamba Hali ya vijana wengi walioteuliwa kuwa DC hawapo happy na nafasi hizo baada yakufika vituo vya kazi. Eti wanalalamika kwamba maeneo yao ya kazi hakuna kazi kwa sababu uwezi kwenda na mawazo mapya, watu wanataka uwasikilize wazee ambao wengi ni madiwani na viongozi wa chama. Lakini pia muundo wa halmashauri nyingi unakosa watu wenye upeo na hivyo kujikuta unapata ukinzani kufikia lengo. Anakubaliana na kauli kwamba hizi nafasi si za vijana maana zinadumaza ubongo.
Lakini changamoto kubwa inayopelekea watu kuomba kwenda kusoma au kupiga mchongo mwingine Ni maslahi kidogo wanayodhani kwa hadhi ya DC anapata lakini pia kukosekana Uhuru wa siasa na hivyo kazi ya DC kubaki kunyamazisha yeyote mwenye mawazo yenye mrengo tofauti na chama Tawala.
Endapo taarifa hizi Zina ukweli Basi akina Mayala wanaweza kupata uteuzi kuziba nafasi zitakazokuwa wazi.