Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ni kazi ya kikoloni iliyowekwa kuwafaidisha watawala.U DC kazi ya hovyo sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kazi ya kikoloni iliyowekwa kuwafaidisha watawala.U DC kazi ya hovyo sana!
Tulia dawa iwaingie....Chai hii....Khaaa😲🤣🤣
"Mparanganyiko" wa HISIA ama?!!!Yajayo yafurahisha...
Nchi ni kama ipo kwenye mparanganyiko
😲😲🤣Tulia dawa iwaingie....
Ukuu wa Wilaya zamani walipewa makada wa 45-50 kama maandalizi ya kustaafu. Leo unampa kijana wa 30 mwenye elimu yake nzuri kazi ya kwenda kukaa ma Wilayani huko wakati ana uwezo wa kupata kazi UNDP na CV ameisha ijenga.Yajayo yafurahisha...
Nchi ni kama ipo kwenye mparanganyiko
Zama zimebadilika....Ukuu wa Wilaya zamani walipewa makada wa 45-50 kama maandalizi ya kustaafu. Leo unampa kijana wa 30 mwenye elimu yake nzuri kazi ya kwenda kukaa ma Wilayani huko wakati ana uwezo wa kupata kazi UNDP na CV ameisha ijenga.
DC wana njaa kali sana labda hawa wa town na wilaya zilizo amka kidogo wanapiga vimi chongo vya hapa na pale.. ila sio kazi ile wamabaki na malaka ya kukuweka tu ndani ndio wanacho jivuniaga ila watu kuliko weweHamna kitu kama hicho asee, mtaani palivyo tight labda kama mtu kapata offer ya kwenda mamtoni kuishi vizuri
Mkuu kuwa makini, yawezekana chai hii imemuunguza SuperbugChai hii....Khaaa😲🤣🤣
Tanzania hakuna siasa,ila kipo kifananacho na siasa.Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa karibu wa DC mmoja Kanda ya ziwa anaeleza kwamba rafiki yake ameshaomba na ametuma baadhi ya wazee wazungumze na mamlaka za uteuzi aruhusiwe kuacha kazi na kwenda kujiendeleza au kujiunga na Shirika moja huko nje.
Taarifa zinaeleza kwamba Hali ya vijana wengi walioteuliwa kuwa DC hawapo happy na nafasi hizo baada yakufika vituo vya kazi. Eti wanalalamika kwamba maeneo yao ya kazi hakuna kazi kwa sababu uwezi kwenda na mawazo mapya, watu wanataka uwasikilize wazee ambao wengi ni madiwani na viongozi wa chama. Lakini pia muundo wa halmashauri nyingi unakosa watu wenye upeo na hivyo kujikuta unapata ukinzani kufikia lengo. Anakubaliana na kauli kwamba hizi nafasi si za vijana maana zinadumaza ubongo.
Lakini changamoto kubwa inayopelekea watu kuomba kwenda kusoma au kupiga mchongo mwingine Ni maslahi kidogo wanayodhani kwa hadhi ya DC anapata lakini pia kukosekana Uhuru wa siasa na hivyo kazi ya DC kubaki kunyamazisha yeyote mwenye mawazo yenye mrengo tofauti na chama Tawala.
Endapo taarifa hizi Zina ukweli Basi akina Mayala wanaweza kupata uteuzi kuziba nafasi zitakazokuwa wazi.
Kama Taifa tuna safari ndefu sana.
Nilitembelea mradi mmoja wa Wazungu hapa nchini.
Nikwa pale wakanunua mashine yenye thamani ya Bilioni 1.
Siku mashine imefika aliyeipokea ni kijana wa Stoo.
Mwezi uliofuata , mkoani kwetu kulikuwa na mradi wa maji wenye thamani ya milioni 200. Akaja waziri kuuzindua.
Naongeza MsisitizoUkuu wa Wilaya zamani walipewa makada wa 45-50 kama maandalizi ya kustaafu. Leo unampa kijana wa 30 mwenye elimu yake nzuri kazi ya kwenda kukaa ma Wilayani huko wakati ana uwezo wa kupata kazi UNDP na CV ameisha ijenga.
Naona umepigwa ban kweli.Mayala akiteuliwa ukuu wa wilaya naomba nipigwe ban ya mwaka mmoja
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 kazi kweri kweriiDC wana njaa kali sana labda hawa wa town na wilaya zilizo amka kidogo wanapiga vimi chongo vya hapa na pale.. ila sio kazi ile wamabaki na malaka ya kukuweka tu ndani ndio wanacho jivuniaga ila watu kuliko wewe
Hapo kwenye Mayala, unamuongelea huyuhuyu Pascal Mayalla wetu wa JamiiForums?Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa karibu wa DC mmoja Kanda ya ziwa anaeleza kwamba rafiki yake ameshaomba na ametuma baadhi ya wazee wazungumze na mamlaka za uteuzi aruhusiwe kuacha kazi na kwenda kujiendeleza au kujiunga na Shirika moja huko nje.
Taarifa zinaeleza kwamba Hali ya vijana wengi walioteuliwa kuwa DC hawapo happy na nafasi hizo baada yakufika vituo vya kazi. Eti wanalalamika kwamba maeneo yao ya kazi hakuna kazi kwa sababu uwezi kwenda na mawazo mapya, watu wanataka uwasikilize wazee ambao wengi ni madiwani na viongozi wa chama. Lakini pia muundo wa halmashauri nyingi unakosa watu wenye upeo na hivyo kujikuta unapata ukinzani kufikia lengo. Anakubaliana na kauli kwamba hizi nafasi si za vijana maana zinadumaza ubongo.
Lakini changamoto kubwa inayopelekea watu kuomba kwenda kusoma au kupiga mchongo mwingine Ni maslahi kidogo wanayodhani kwa hadhi ya DC anapata lakini pia kukosekana Uhuru wa siasa na hivyo kazi ya DC kubaki kunyamazisha yeyote mwenye mawazo yenye mrengo tofauti na chama Tawala.
Endapo taarifa hizi Zina ukweli Basi akina Mayala wanaweza kupata uteuzi kuziba nafasi zitakazokuwa wazi.
NdioHapo kwenye Mayala, unamuongelea huyuhuyu Pascal Mayalla wetu wa JamiiForums?
Ubaya mamlaka zetu hazitakubali umeacha,utasikia katumbuliwa.Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa karibu wa DC mmoja Kanda ya ziwa anaeleza kwamba rafiki yake ameshaomba na ametuma baadhi ya wazee wazungumze na mamlaka za uteuzi aruhusiwe kuacha kazi na kwenda kujiendeleza au kujiunga na Shirika moja huko nje.