Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣🤣Mkuu kuwa makini, yawezekana chai hii imemuunguza Superbug
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Mkuu kuwa makini, yawezekana chai hii imemuunguza Superbug
Watu wa hivyo bado hawajatokea Tzn hiiZipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa karibu wa DC mmoja Kanda ya ziwa anaeleza kwamba rafiki yake ameshaomba na ametuma baadhi ya wazee wazungumze na mamlaka za uteuzi aruhusiwe kuacha kazi na kwenda kujiendeleza au kujiunga na Shirika moja huko nje.
Taarifa zinaeleza kwamba Hali ya vijana wengi walioteuliwa kuwa DC hawapo happy na nafasi hizo baada yakufika vituo vya kazi. Eti wanalalamika kwamba maeneo yao ya kazi hakuna kazi kwa sababu uwezi kwenda na mawazo mapya, watu wanataka uwasikilize wazee ambao wengi ni madiwani na viongozi wa chama. Lakini pia muundo wa halmashauri nyingi unakosa watu wenye upeo na hivyo kujikuta unapata ukinzani kufikia lengo. Anakubaliana na kauli kwamba hizi nafasi si za vijana maana zinadumaza ubongo.
Lakini changamoto kubwa inayopelekea watu kuomba kwenda kusoma au kupiga mchongo mwingine Ni maslahi kidogo wanayodhani kwa hadhi ya DC anapata lakini pia kukosekana Uhuru wa siasa na hivyo kazi ya DC kubaki kunyamazisha yeyote mwenye mawazo yenye mrengo tofauti na chama Tawala.
Endapo taarifa hizi Zina ukweli Basi akina Mayala wanaweza kupata uteuzi kuziba nafasi zitakazokuwa wazi.
Kama hujui kucheza karata basi Udc haukufai ila ni Kazi nzuri ya kufanya mambo yako huku ukila na DED tuu.Dah kweli bora kulilia ukurugenzi tu aisee, na ule unaupataje sasa? Ni kwa kuteuliwa pia?
Duh washakulamba mojaMayala akiteuliwa ukuu wa wilaya naomba nipigwe ban ya mwaka mmoja
Acha fitnah ,majungu na kufarakanisha "watu" 🤣Mi ni mmoja wa hao ma dc kiukwel maslai hakuna posho ndogo inamigao kibao bora nikaendelee kuimba
Ni kweli kabisa kwa muundo wa Halmashauri interaction ya DC na Madiwani ni ndogo Sana, DED ndio anashirikiana nao Kwa ukaribu mnoo, hivyo hiyo sababu ya kutoelewana na Madiwani haina mashikoUnaposhindwa kusikilizana na madiwan au wazee wa chama ukataka kuacha kazi basi umeshindwa kazi sio kutaka by the way madiwan wanaingilianaje kiutendaji na DC kiasi cha kutaka kuacha kazi labda DED ningeelewa
Wanapewa vijana wenye CV nzuri na uwezo mkubwa ili kwenda kufanya mabadiliko chanya huko wilayani, ni kwa Nia nzuri tuu, kwa ulimwengu huu ambao tecknolojia inakua kwa Kasi tunahitaji vijana walio sharp na wenye maono ya mbali ili kuendana na Kasi ya ukuaji wa tecknolojia na Maendeleo ya kiuchumiUkuu wa Wilaya zamani walipewa makada wa 45-50 kama maandalizi ya kustaafu. Leo unampa kijana wa 30 mwenye elimu yake nzuri kazi ya kwenda kukaa ma Wilayani huko wakati ana uwezo wa kupata kazi UNDP na CV ameisha ijenga.
😂😂😂 Tanzania hakuna mtu Wa kuacha kazi kwa hiyari yake mwenyewe bhana...Hamna kitu kama hicho asee, mtaani palivyo tight labda kama mtu kapata offer ya kwenda mamtoni kuishi vizuri
Ni kweli kabisa muundo wa Halmashauri una changamoto zake, just imagine we ni msomi na una hoja ya msingi, Diwani standard VII anakubishia na hoja yako inatupiliwa mbali, hili inabidi liangaliwe Sana linapelekea kuchelewa kwa Maendeleo Sana huko vijijiniUongo wa taarifa unaonekana hapa! Kama ungesema ma-DED angalau inge-make sense kwa sababu kazi zenye changamoto huko mawilayani ni kazi za ma-DED na kundi lake la watalaamu manake hawa ndio wanafanyakazi moja kwa moja na madiwani! Huko mawilayani, hususani wilaya ambazo kata zake ni vijiji unaweza kukuta Diwani wa Form IV ndo diwani msomi; halafu wewe unaenda pale na usomi wako, lazima upate shida! Nilishawahi kuishi wilaya moja, unaambiwa Mwenyekiti wa Halmashauri ni Standard VII, halafu mzee ni Much Know balaa, huku akiwa amejaaliwa kipaji cha kuongea. Unaambiwa Halmashauri mzima (DED na Watalaamu wake) ilikuwa inamgwaya! Ujinga wa Halmashauri (DED na timu yake) ni kama unavyoona Bungeni Dodoma! Unakuta Waziri una PhD yako, umefanya kazi hadi ma Umoja wa Mataifa huko lakini bado wanatokea akina Msukuma na Lusinde wanakuambia "Uprofesa wako ni bure kabisa"!
Pesa za mashine wangeikabidhi serikali angekuja Rais au makamu wake.Kama Taifa tuna safari ndefu sana.
Nilitembelea mradi mmoja wa Wazungu hapa nchini.
Nikwa pale wakanunua mashine yenye thamani ya Bilioni 1.
Siku mashine imefika aliyeipokea ni kijana wa Stoo.
Mwezi uliofuata , mkoani kwetu kulikuwa na mradi wa maji wenye thamani ya milioni 200. Akaja waziri kuuzindua.
Watu wengi hawaelewi tofauti ya kimuundo Kati ya DED na DC, Hierarchy ya DC ipo hivii: Anaanza DC anafuata DAS then Katibu tawala wanaosimamia tarafa. DED:Anaanza DED inafuata CMT( council management team) inayohusisha wakuu wa Idara ambapo kila Idara Ina bajeti yake na zote zinaingia Halmashauri chini ya usimamizi wa DED Kama accounting officer wa Halmashauri therefore Bajeti ya DED ni kubwa kuliko DC kwasababu ya fedha zinazoingia kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli za Idara zote anazozisimamiaHivi kwa akili yako unadhani ile barabara imejengwa wakati wa nani kama sio wa Magu?! Au unaisikia tu Kijichi!! Halafu inaelekea wala hujui utendaji wa serikalini unaendaje!! Ujenzi wa barabara na DC wapi na wapi?! FYI, ma-DC walikuwa wanapiga pesa kipindi cha Magu kwa kuwatisha watu kwa sababu wao kama wao, ofisi yao haina bajeti ya maana! Pesa halmashauri ni "za DED" na sio za DC! Na huyu DC hayupo hata kwenye orodha ya signatories!
Naona tiyari wamekupa BAN yako mkuu. au maneno yameshatimia?Mayala akiteuliwa ukuu wa wilaya naomba nipigwe ban ya mwaka mmoja
Upigaji umefanyika wakati wa mama hiyo roadHivi kwa akili yako unadhani ile barabara imejengwa wakati wa nani kama sio wa Magu?! Au unaisikia tu Kijichi!! Halafu inaelekea wala hujui utendaji wa serikalini unaendaje!! Ujenzi wa barabara na DC wapi na wapi?! FYI, ma-DC walikuwa wanapiga pesa kipindi cha Magu kwa kuwatisha watu kwa sababu wao kama wao, ofisi yao haina bajeti ya maana! Pesa halmashauri ni "za DED" na sio za DC! Na huyu DC hayupo hata kwenye orodha ya signatories!
Wewe ni mpumbavu ujui ufisadi unafanjikaje unakumbuka pesa za kwenye rumbesa ? Mafisadi wana akili kukuzidi wewe ndiyo maana ujui haya mambo wewe unafikili wakuu wa wilaya watakubali ujenge barabara kwa gharama za kifisadi bila ya wao kunufaika hadi mapolisi wanapata mgaoHivi kwa akili yako unadhani ile barabara imejengwa wakati wa nani kama sio wa Magu?! Au unaisikia tu Kijichi!! Halafu inaelekea wala hujui utendaji wa serikalini unaendaje!! Ujenzi wa barabara na DC wapi na wapi?! FYI, ma-DC walikuwa wanapiga pesa kipindi cha Magu kwa kuwatisha watu kwa sababu wao kama wao, ofisi yao haina bajeti ya maana! Pesa halmashauri ni "za DED" na sio za DC! Na huyu DC hayupo hata kwenye orodha ya signatories!
Mkuu kweli kwa kijana wa 24 to 40 kuwa DC kunaweza kumpotezea fursa nyingi hasa uwajibikaji na kupamua uelewa wake katika elimu. Hii ni kazi ambayo mtumishi anatakiwa awe promoted kutoka ngazi ya chini ambayo imempatia uzoefu mkubwa na hasa hawa Makatibu Tarafa ambao wakati huo wakuwa above 40 years na ndio wanaenda kusitafu, na nadhani ndio wanao kaimu cheo cha UDC wakati hawapo ofisini. Hii ya kumteua mtu tu kushika nafasi ambayo hana ujuzi na uzoefu nayo tukijifariji kuwa atavipata akiwa kazini (on job training) ndio chanzo kingine cha kutosonga mbele katika maendeleo. Ebu tujiulize ni nani atamudu vizuri kazi hii ya UDC kati ya: kuajiri kijina (30yrs <)moja kwa moja kutoka chuo kikuu na MA yake au kijana 40yrs>)na Diploma ama BA kwa kuwa promoted from Katibu Tarafa mabaya ana experience ya zaidi ya miaka 3.Zipo taarifa nimesoma kwenye group moja la WhatsApp kwamba baadhi ya wakuu wa Wilaya wamepata mchongo mpya na wameomba waruhusiwe kwenda kuimarisha carrier zao japo majibu hayajatoka. Rafiki wa karibu wa DC mmoja Kanda ya ziwa anaeleza kwamba rafiki yake ameshaomba na ametuma baadhi ya wazee wazungumze na mamlaka za uteuzi aruhusiwe kuacha kazi na kwenda kujiendeleza au kujiunga na Shirika moja huko nje.
Taarifa zinaeleza kwamba Hali ya vijana wengi walioteuliwa kuwa DC hawapo happy na nafasi hizo baada yakufika vituo vya kazi. Eti wanalalamika kwamba maeneo yao ya kazi hakuna kazi kwa sababu uwezi kwenda na mawazo mapya, watu wanataka uwasikilize wazee ambao wengi ni madiwani na viongozi wa chama. Lakini pia muundo wa halmashauri nyingi unakosa watu wenye upeo na hivyo kujikuta unapata ukinzani kufikia lengo. Anakubaliana na kauli kwamba hizi nafasi si za vijana maana zinadumaza ubongo.
Lakini changamoto kubwa inayopelekea watu kuomba kwenda kusoma au kupiga mchongo mwingine Ni maslahi kidogo wanayodhani kwa hadhi ya DC anapata lakini pia kukosekana Uhuru wa siasa na hivyo kazi ya DC kubaki kunyamazisha yeyote mwenye mawazo yenye mrengo tofauti na chama Tawala.
Endapo taarifa hizi Zina ukweli Basi akina Mayala wanaweza kupata uteuzi kuziba nafasi zitakazokuwa wazi.
Ila Msando ni very stupid! Alishajenga jina kwenye Uwakili, halafu unakimbilia u-DC! Au anaota siku moja aje kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali! Jinga sana yule jamaa. DC zaidi ya mamlaka na gari ya serikali, hamna kitu kule unless uwe haramia kama akina Sabaya!Mhhhh labda Msando maana biashara zinalala.
Wanachojivunia ni mamlaka yao ya kuwatia watu ndani tu, zaidi hapo njaa kwenda mbele.. wapiga madili walioopo kwenye wilaya zilizo amka ndio wanakula maisha😀😀Hahahahah kina Ole Sabaya😅,,, kumbe DC ni kama kiranja wa Kiwango Security tu
Angalia ulivyo mpumbavu! Sasa hizo pesa za lumbesa zilipitia kwa ma-DC? Huyo DC asikubali ujenzi kwani yeye ndo anaidhinisha pesa? wakati pesa za barabara zinakuwa kwenye Road Fund ambayo DC wala sio mmoja wa ma-signatory!! Au umeumia kukuambia hiyo barabara ilijengwa wakati wa Magu unayejidanganya enzi zake watu walikuwa hawapigi! Jinga sana, ndo maana unashindwa hata kujua wapi unatakiwa kuandika "l" na wapi unatakiwa kuandika "r" kwa sababu ni KILAZA, kenge wewe!!Wewe ni mpumbavu ujui ufisadi unafanjikaje unakumbuka pesa za kwenye rumbesa ? Mafisadi wana akili kukuzidi wewe ndiyo maana ujui haya mambo wewe unafikili wakuu wa wilaya watakubali ujenge barabara kwa gharama za kifisadi bila ya wao kunufaika hadi mapolisi wanapata mgao