Taarifa kwamba wapo wakuu wa wilaya wameomba kuacha kazi kwa ajili ya majukumu mengine binafsi zina ukweli?

Hizi taarifa si za kweli, Anyway ngoja tuseme ni kweli kuwa umepenyezewa kuwa kuna DC ameomba kuachia ngazi, je inatosha to justify kuwa Wakuu wa Wilaya wengi wanaomba? Lakini pia hauko well informed na majukumu ya DC , hakuna DC asiye na kazi, na wala DC hakutani na madiwani katika utendaji wa kazi, anayekutana na vikwazo na heka heka za Madiwani ni DED..
DC ni Mwenyekiti wa KUU.
 
Stupid dog
 
Kwahiyo J.Nassari anataka kurudi UN, Naona imeandikwa kwa kificho lkn thats the reality aende awaachie wenye Bunda yao
 
Tatizo ni kuchukua watu nje ya mfumo. Lazima wateseke. Kijana amezaliwa Dar, kasoma Dar, amefanya kazi Dar; leo unampeleka Nkasi akawe DC! Lazima ateseke, wangechukua watu waliopitia kwenye utendaji wa huko chini, wasingepata hizi stress. Huko kunakowakera hao maDC, kuna watendaji wa kata; kuna maafisa tawala wa tarafa etc. Kwanini wasiwape promotion hawa? Wanaenda kuwazoa kina Basila? Tena ingewapa watu huko chini motivation ya kufanya kazi kwa bidii zaidi.
 
Nimependa hiyo Paragraph ya mwisho ila Mayala ni NJAA KWA KISUKUMA
 
Stupid dog
Hebu nijuze, ni kwamba umepigwa chini na basha wako aliyekuwa anakuf'ira, na kwahiyo unatafuta basha kwa nguvu, ama?! Nenda viwanja vya macho'ko wenzako, na huko ndo utakuta waf'iraji na sio hapa, kenge wewe!!
 
Typical ya uzushi wa chadema. Yaani hapo hakuna kitu chenye ushadi uzushi mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…