Dah mi ndo nilifurahi sana Arabela
Nimeamua kubaki na ninyi wawili tu ili tujenge familia sasa maana haya mambo ya dunia hayaishi kamwe.
Nawaomba pendaneni kama ninavyowapenda....naahidi kuwa na mapenzi ya dhati kwenu....mkisikia kashafa yoyote juu yangu mniache!
Love you Chocs na Arabela
Cc: Baba V Mr Rocky nitonye zubedayo_mchuzi Arushaone
Bcc: Mamndenyi
Umeliafiki hili bidada?!! zubedayo_mchuzi anataarifa hizi?
Umeliafiki hili bidada?!! zubedayo_mchuzi anataarifa hizi?
Maumivu.....
Huishi upekuaji. nini haukijui kwani.
Hahahaaa jamani kwani we bby hupendi kuwa na Arabela ? Nampenda sana coz ni mstaarabu sana na hata ukienda kumalizia masomo yako UK atakusaidia kunitunza na kulinda dhidi ya akina mandenyi na BADILI TABIA na wenzao wenye tabia kama zao!
Relux eeeh
Mwaaaah
Umeliafiki hili bidada?!! zubedayo_mchuzi anataarifa hizi?
how come my dear sijapiga hatua unanikataa mbele ya umma? Arabela you know how much i love you
me too. Sijakukana my dia ila sijaona tangazo la ndoa
Naomba uwe mwanaume bhana....nini kulazimisha mapenzi?
Mwache binti aje kwa kijana mwenzie we nenda kwa wabibi wako utuache ebooooo
I will do it for you baby, ujue nilishindwa kutoa tangazo sababu ya utata wa mwenyekiti wa ndoa maana kulikuwa na mapinduzi